Board ya Mkopo (View Application Status)

ushahd

Senior Member
Jul 30, 2019
180
101
Salaam wakuu,

Kwa wale walioomba mkopo mwaka huu kuna ambaye ameshapata ujumbe kwenye account yake tofauti na ujumbe huu hapa chini?

Your application is already in Verification process, please wait for the next stage.
 
Salaam wakuu

Nami ipo katika hatua hiyohiyo ndugu
 
Yangu mara ya kwanza ilisema "your application is verified complete, wait for the allocation"

Sasa hivi ndio inasema kama ulivyoandika hapo juu sasa siajelewa imekuwaje
 
Screenshot_20230930-114353.png
 
IMG_0212.png

habari jamani..naombeni mnisaidie..nimeapply nikafika mwsho lakini ikaniambia sinakamilisha preliminary info,nikafud kujaza hzo taarifa,kila nikijaza niruhusu kuemdelea na hatua nyingine inaliad sana,siku ya 3 sasa bado inaload tu..nkabadilisha browser lakn bado..nisaidien tafadhali
 
View attachment 2771257

0736665533
piga hiyo namba wakusaidie wanachelewa kupokea lakini wanapokea na kusaidia
 
Yangu mara ya kwanza ilisema "your application is verified complete, wait for the allocation"

Sasa hivi ndio inasema kama ulivyoandika hapo juu sasa siajelewa imekuwaje
Angalia vizur tena uwenda kuna sehem wanataka urekebishe
 
Hv ukifika kwenye hatua hii ya huu ujumbe wa kusubiri Allocation process maana yake ni nin kwamba umesha pata mkopo au
sidhani kama ni kweli,
wanachokimaanisha ni kwamba uchambuzi wa taarifa zako umekamilika,kusubiri allocation process ni jambo jingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom