Board ya mikopo kukata 8% za mishahara ya wadaiwa

wewe kama unanufaika na pesa za kifisadi sio kila mtu ananufaika hivo!mjinga wewe!
acha ubinafsi wewe wadogo zako watapata wapi mikopo au unajifikiria wewe tu
kama mtu unauwezo jitahidi ulipe zote ndo mnunue hayo magari yenu ya kijapan
 
Acheni upuuzi,hicho kiwango tulichokopeshwa ni hela za kodi za wazazi wetu walizokuwa wanalipa na elimu yangu ni kwa manufaa ya taifa,badala ya kudhibiti matumizi mabaya ya viongozi wa serikali eg VX V8 mnang'ang'ania kutubana na Mil 5 tulizokopeshwa kipindi chote cha masomo.
Mimi nilitegemea tugome kuzilipa maana tayari tunakatwa kodi hao wadogo zetu wakopeshwe hela ambazo zitapatikana kwa kuuza mashangingi na kupunguza matumizi yasiyo ya msingi ya serikali. Nikilipa mkopo wa Mil 5 hata tuwe 20 hatutafikia shangingi moja la mkurugenzi. Tuamke tupiganie hii nchi. Tupo tayari kulipa sawa lakini tunajiumiza wachache wengine wanakula jasho letu bure.
Basic salary - (income tax +pension contribution + tuge +high student lb +nat health insurance fund +parastatals rent)= 0

hahahaaa, pole sana mkuu ndo tz hii
 
Jamaa wana uzembe wa hali ya juu pia, makosa ni mengi mno. Nimewabembeleza sana kuwalipa pesa yao lkn naona hawaitaki. Simo kwenye records zao! Nawasikilizia tu!
 
Hawa jamaa hawako sirias.... Walisema watashtaki defaulter, wamefikia wapi? Nawasubiri mahakamani!
 
Hebu nijuze mkuu riz1 vipi alishaanza kulipa? maana mpka mwaka jana jamaa alikuwa mdaiwa sugu
Board ya mikopo wanakata 8% ya mshahara kama lejesho la deni kwa walionufaika na mikopo,
ninachokiona mimi wanafunzi wananufaika kwa kiwango tofauti, kuna wenye asilimia mia adi sifuri, na kuna wanaosoma miaka 3 adi 4.
Mkopo nijuavyo mwenye deni kubwa ndio analipa kiasi kikubwa, kwa kuweka 8% kwa wote ninaona kama sio fair, ukizingatia na mishahara ni tofauti.

Sijui wana jf mnaonaje wezangu
 
acha ubinafsi wewe wadogo zako watapata wapi mikopo au unajifikiria wewe tu
kama mtu unauwezo jitahidi ulipe zote ndo mnunue hayo magari yenu ya kijapan

kwaa hiyo ndio ukashauri kuwa ikatwe 50%?? ulishaona magari ya kujapan ni deal sana? unatoka pori lipi wewe? mm sijakataa kulipa na mpaka sasa nalipa ila nachokataa ni wazo lako kuwa kwa nn isikatwe 50%, kwa mafisadi hata 100% sio kitu!
 
hawa jamaa si walisema wanafungulia kesi wale wote ambao watakuwa wame default kulipa na waliweka na dead line kabisa, sasa mbona sijaskia tena kama wameshawapeleka mahakamani?

Sasa wewe inakuuma nini! Acha tuendelee kupeta. Kuliko kurudisha hii hela halafu ikafisadiwe bora niweke nia kuwapa wototo yatima au kutafuta yatima hata mmoja nimsomeshe apate elimu itakayomsaidia baadae
 
Mkuu tumia akili kufikiri au kwasababu wewe bado unaishi kwa Mama?
swali lako mbona rahisi sana!
sema! TRA custom wanasemaje huko? kwani nanyie mnakatwa 8% kama halmashauri na manispaa
Kwanza nyie hata wakikata 100% hamna noma
wasalimie wadau wengine wote wa custom
 
Back
Top Bottom