Nyanidume
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,409
- 1,151
rekod zote za dunia zipo kwenye Guiness,babu yako nan anamjua.
Hii inaonyesha ni jins gani watu weus tusivyojikubali hata kwenye mambo yaliyopo ndan ya jamii yetu, inasikitisha sana!
rekod zote za dunia zipo kwenye Guiness,babu yako nan anamjua.
bibi miaka 120 awe na mtoto miaka 60 wa mwisho duh?
Amesema over 60 years neno over lina maana ya kuwa anaweza kuwa na miaka 70,80 90 etc