Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,342
- 89,563
Dah nikionaga VW nabaki nacheka, kusema kweli VW nazijua Polo, Golf na Tiguan tu sana.Chief unaizungumziaje VW passat ya 2013 kabla vijana hatujajilipua
Dah nikionaga VW nabaki nacheka, kusema kweli VW nazijua Polo, Golf na Tiguan tu sana.Chief unaizungumziaje VW passat ya 2013 kabla vijana hatujajilipua
Fafanua kidogo mkuuDah nikionaga VW nabaki nacheka, kusema kweli VW nazijua Polo, Golf na Tiguan tu sana.
VW kusema kweli reliability yake hit and miss. Utakuta same car uyu lipo reliable hafu wewe kila siku kwa fundi.Fafanua kidogo mkuu
Nimekupata...VW kusema kweli reliability yake hit and miss. Utakuta same car uyu lipo reliable hafu wewe kila siku kwa fundi.
Ni fun kuendesha ila ndio ivo, Germany engineering.