RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,417
- 139,271
- Thread starter
- #41
pole sana mkuu,mie pia nii mhanga wa tatizo kama lako lakini nina vw touran.Gia zilikua zina chelewa ku engage,sometimes zina goma kabisa gari inakua ina unguruma tu,rpm ina panda lakini ipo pale pale.Nili peleka vomp diagnistic first ikawa ina onyesha code error tu,waka fungua gearbox hawaku kuta tatizo lolote ikabidi wabadilishe transmission fluid tu.
Ika tulia kama mwezi hvi af ndo ikawa worse,ikabidi nipeleke kwa fundi mwingine ,akafungua gearbox tena na kucheki kwa indani zaidi akagundua gearbox seal iliku ime choka kabisa.Nika badilisha ikafungwa upya na tatizo likawa lime kwisha.
Sometimes comp diagnostic haisemi kila kitu lakini usivunjike moyo.
hiki ndio exactly kilichotokea.....huyo fundi wako yuko wapi?? naomba mawasiliano yake
