Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
Ingekuwa kuna tatizo lolote basi lazima sensor ingepeleka info kwenye ecu then ingetokea sign kwenye dashboard. ..kuna gari nilituma bongo nissan primera. ..ilinisumbua sana kwa style kidogo kama yako lkn yenyewe haikuwa na tatizo la gear. .....kuna fundi mmoja yupo kariakoo aliniwekea mafuta gani sijui ya kusafisha mfumo wote wa engine. ...ilisaidia sana maana nilikuwa nishakubali kutoa laki nne za kununua sensor badala yake nikatoa elfu tano tu. ......ngoja nimtafute bimkubwa bongo anipe namba ya huyo fundi kisha nikupe umpigie
Safi sana hebu mpatie hayo mawasiliano itasaidia wengi
Ila kama alivosema RR transmission fluid sio ya kubadili mara kwa mara kama umeweka ya ubora unaotakiwa
Last edited by a moderator:


