Bluray yuko wapi?

Bluray yuko wapi?

Annina

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2009
Posts
437
Reaction score
59
Jamani Bluray yuko wapi? , Xmass si iliisha bado anahesabiwa tu?
 
Hata mimi nilitaka kuuliza hivyo hivyo.....
But nikikumbuka ile post yake
aliyosema tell ur god to bring it on....huwa naogopa......
 
Hata mimi nilitaka kuuliza hivyo hivyo.....
But nikikumbuka ile post yake
aliyosema tell ur god to bring it on....huwa naogopa......

Nadhani huwa hamaanishi... anaejua alipo pls atujulishe

Annina
 
kweli sijamuona siku nyingi, where are you pal?
 
Yaaah! Where is that dude with his Complicated k-CNN
 
Omega,

Last time nilivyocheck naye aliniambia New Year resolution ni kumalizia kitabu chake mwaka huu kabla ya uchaguzi. Halafu alisema mwezi wa kwanza huu anafukuzia viwanja viwili, kimoja karibu na Mkuranga na kingine Mbezi Beach, kwa hiyo mambo ya mitandao bongo inawezekana not reachable.

Au kashapata Mwanahawa wa Kizaramo kabanwa kwa kanga moja.

Who knows? Atakuja hapa kusema mwenyewe, si unamjua addict yule.
 
Wow..I guess in this reincarnation even Kiranga don't know the whereabouts of Bluray..Lol
 
He is revisiting evolution theory! May be he is confirming that ''Darwin was wrong'
 
Kaenda kozi ya Dictionary Cambridge.Akirudi mtamsikia tu msihofu
 
Au mafuriko ya El-nino yamemkumba? Maana hii si kawaida, Angekua ameshafurukuta tu!!
 
Back
Top Bottom