Blueprint 3

BP3 ni certified Gold baada ya kuuza copy 297,900 wiki iliyopita na kufikisha jumla ya copy 774,000 (wiki ya pili).
Huyo Drake mmemsifia weee matokeo yake ameuza copy 73,600 (wiki ya kwanza).
Kid Cudi ameuza copy 104,300 (wiki ya kwanza), bila kumsahau Lil Boosie (MC wa Smatta) kauza copy 48,900 (wiki ya kwanza).

Drake is way overrated. Lakini to be fair, aliyotoa nadhani ni mixtape na si album
 
Ni retail re-release ya So Far Gone, lakini kwa upande mwingine wapenzi wengi wa Drake ni wale waliokuwa wanaangalia Degrassi ambao wengi wao ni watu wa kunyonya kwenye mtandao lol.
 
Nlikua sijaisikiza hii kitu lakini kwa kweli baada ya kupata wasaa wa kuisikia japokua mi sio fan wa Jay-Z ila kilicho chema kitendee wema ,albamu imesimama
 
Drake is way overrated. Lakini to be fair, aliyotoa nadhani ni mixtape na si album

Yap, sio album ni EP ya ile single yake....
Just like ya, i feel he is way overrated.
Check out his Hot 97 mess with flex....he freestyled with a blackberry not straight from the chrome dome.
 
Whats the difference between Drake and Nikki Minaj?

Yani Julius waweza mfananisha Drake na Nikki, Drake is the best dawg out right now. Kid can rap, sing, act, he's clean (not tainted like your MC lil 'syrup' Wayne), lets give the kid his due respect. Its hard to see a new rapper in the same song with heavy weights like Jay, Em, Ye, Wayne, jeezy, Loso. if all of them cosign the Ni99er, who are we to say kid is overrated???
 
BP3 ni certified Gold baada ya kuuza copy 297,900 wiki iliyopita na kufikisha jumla ya copy 774,000 (wiki ya pili).
Huyo Drake mmemsifia weee matokeo yake ameuza copy 73,600 (wiki ya kwanza).
Kid Cudi ameuza copy 104,300 (wiki ya kwanza), bila kumsahau Lil Boosie (MC wa Smatta) kauza copy 48,900 (wiki ya kwanza).

hahahaha,.. wacha uchokozi, Lil Boosie????? cant even name one of his track.. Heard he is in for two years though, alihukumiwa juzi aisee.

Bumping ''the last kiss'', jada Kiss' album, and though he didnt sell as much as Jay did, the two albums are incomparable. sales shoulnt be used to compare albums, because its obvious Lil Bossies album is whack but it sold 48,900 but slaughter house album is a classic but it sold 17,000, so sad mayn, so sad.
 
Smatta ndugu yangu,i've been trying kusema weeee kuwa sio sahihi kuhukumu ukali wa mtu kwa mauzo nikafkuzwa mbaya hapa...now we on the same page..coz,vitu vingi vinaweza sababisha mtu asiuze na haituambii kuwa hana uwezo wa kisanii...ndio maana niliwataja The Roots...
 
Yani Julius waweza mfananisha Drake na Nikki, Drake is the best dawg out right now. Kid can rap, sing, act, he's clean (not tainted like your MC lil 'syrup' Wayne), lets give the kid his due respect. Its hard to see a new rapper in the same song with heavy weights like Jay, Em, Ye, Wayne, jeezy, Loso. if all of them cosign the Ni99er, who are we to say kid is overrated???

Check out Weezy F Baby murder Drake and Baby in Birdman's new video..

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=AgBETDui_4U[/ame]
 
Weezy and Kells killed it in this one....

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=TfjnGU0yqtc[/ame]
 
still, numbers don't lie.... on his way to platinum this week.

Hope ya had few minutes to listen to the GOD MC,him JAY HOVA!
The flow of the century, always timeless.....
 
How many weeks does he need to get to platinum status? 5? Weezy did that within a week....now can Camel Toe top that?
 
Haya mzee, kumbuka hiki ni kipindi kigumu kwenye hii industry.....
Numero uno for the past two weeks and he will be platinum by Wednesday.
Tuache hayo, ulisikiliza album......on to the next one!
 
Recession haijaanza leo. Tha Carter III ilitoka wakati recession ishaanza. Na sijaisikiliza album kwa sababu sitaki kuumiza masikio yangu
 
lil wayne aliuza but ni mweupe tu...hana kitu..na hana uwezo wa kuuza tena vile,fruku lile lilikuwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom