Blue Screen baada ya kuondoa virus

gwambali

JF-Expert Member
May 10, 2011
230
76
Wakuu naomba msaada wenu,

PC yangu ilikuwa imeshambuliwa na virus, nika scan na kupata virus wengi mno, baada ya kumaliza kuscan untvirus Avast ikanitaka ni restart mashine ili i-scan safe mode.

Baada ya kufanya hivyo iliscan na kupata virus ambao walikuwa kwenye system file 32, na kunipa option ya kudelete na kurepair, nilichangua kurepair ikagoma nikachagua delete , na kuendelea.

Baada ya kumaliza kuscan iliwaka na kukaa dakika 3 na kuleta blue screen...

Nimejaribu kufanya system restore imegoma..

E-Mashine
windows 7
ram 2 gb
hd 500

msaada wenu tafadhali.
 

Mlamoto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
351
135
Ikileta blue screen inaandika error msg ipi? Hebu posti hapa tukushauri!
 

Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,873
642
File la windows start up na mafile mengine ya hardware configurations umeyafuta repair kwa kutumia cd ya windows 7
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom