Bloomberg: Makinikia yaifumbua macho dunia ya biashara

Bloomberg: Makinikia yaifumbua macho dunia ya biashara

Aliyesema wameiba ni nani?
Mbona msukuma wenu leo hajatoka kuuza sura anatoa press release tena ya watoto wa darasa la nne .Eti wamekubali kulipa ila tukae tuongee kwanza, really?
Hapa lami hamna nkwingwa nshawaambiaga
Kwa hiyo ukikutana na mtoto,anaenda sokoni,ameshika 5000,ukampa pipi akakupa ile hela unakuwa hujamwimbia ama.wewe vipi unatetea tumbo lako .
 
Yaani kukukuruka kote huku wakisaidiwa na chadema lakini wapi
 
Rubbish
Wapuuzi hawa wazungu
They own media, wataanza kumchafua mh Rais
Mh Rais
Aah wapi siyo wajinga...wapo kwenye corner ambayo hawakuwahi kuwaza kuwekwa...Wajanja siku hizi ni wengi...wamesha loose ile power waliyokuwa nayo...shukrani ziwaendee China, Brazili na India kuonyesha mfano kule Doha! The global trade equation is completely changed...They have no choice but to negotiate to even rescue the little investments made in foreign countries...
 
Inawezekana huko nyuma tulifanya makosa na pengine makubwa sana. Lakini wahenga walituonya, "kufanya kosa inawezekana lakini kulirudia inadhihirisha ni hamnazo" Rais Magufuli katuamsha kwenye usingizi wa pono kuhusu raslimali za taifa siyo madini. Ushahidi ni umasikini wa kutisha kwa wananchi wanaoishi karibu na migodi; kamwe harufu ya waridi haiwafikii!! Tumuunge mkono Rais kwa kuanzisha vita hii; na tusimkatishe tamaa. Hii article ya Bloomberg inadhihirisha hawa wakubwa wameshikwa pabaya na hawakutegemea. Na kitendo cha Rais Magufuli ni tishio lenye kuweza kuvuka mipaka kwa sababu itaweza kusambaa katika nchi nyingi za Afrika.

Na ikitokea Afrika itakataa kuwa kichwa cha mwendawazimu kwa matajiri wa mataifa ya nje kutatokea siyo tu mtikisiko mkubwa wa kiuchumi lakini tutaanza kuheshimiana. Alianza Qadaffi na ikabidi vikaragosi nchini mwake vitumike kumuua na kusambaratisha nchi. Yaliyobakia ni historia. Mugabe kafuata na anashughulikiwa kuanzia na propaganda za kibloomberg. Kongo ya Kabila hivyo hivyo, nchi hakti. Sasa Tanzania imelianzisha vile vile. Watatuzonga kweli kweli na kwa hali hiyo tusimame kidete na Rais Wetu.
 
Kwa hiyo ukikutana na mtoto,anaenda sokoni,ameshika 5000,ukampa pipi akakupa ile hela unakuwa hujamwimbia ama.wewe vipi unatetea tumbo lako .
teh teh teh teh !
Hapo mtoto alikuwa Mkapa au Kikwete ?
 
kuna vitu hujui
Haujui kwamba kuna ushindani katika soko la dunia kupata wawekezaji. Unahisi wanatoka hapo mlimani tu na wanaletwa na shida zao.

Kwanza kuconvince mtu awekeze dollar billion 4 third world country ni issue, achilia mbali kuwaza what kind of bum is running that country.

$4 billion Sio aina ya mtaji unaokutana nao kila siku asubuhi, it's rare!
Sasa mtu anarisk hicho kiasi halafu unakurupuka tu na wimbo wa kisukuma unaitwa resource nationalism .
Resources nationalism?? my ass!

Simamia mkataba na taratibu mlizoweka na mwekezaji.
Msilite siasa kwenye mitaji ya watu.
Kuna watu wanaweka their life savings kwenye masoko ya hisa alafu wewe unashauriana tu na bashite muue mitaji yao.
Wewe una akili ila unajitoa ufahamu makusudi tu.
Kwahiyo hao rare investors kama Barrick/Acacia wako kwetu kwa kuwa tulibahatisha na sio kwamba tuna largest gold depository in E. Africa. Waambie wapeleke hiyo rare investment visiwa vya Comoro. Wakachimbe huko.
Kama mnafanya hivi kwa sababu za kisiasa, mavuno yake hamtaamini macho yenu.
 
Wewe una akili ila unajitoa ufahamu makusudi tu.
Kwahiyo hao rare investors kama Barrick/Acacia wako kwetu kwa kuwa tulibahatisha na sio kwamba tuna largest gold depository in E. Africa. Waambie wapeleke hiyo rare investment visiwa vya Comoro. Wakachimbe huko.
Kama mnafanya hivi kwa sababu za kisiasa, mavuno yake hamtaamini macho yenu.
Brother, unajua kwanini unasema largest deposit in East Africa? Kwasababu umewezeshwa kusema.
Actually kusema largest deposit ni kukuza sana , sawa zaidi ni kusema 'the largest known deposit '.
Why? kwasababu kuna mtu alisacrifice cash kulocate hiyo deposit. Yeah, the free condoms you were given by your government weren't actually free . It was somebody's cash, free was the politics of it .

So, ujue! unless somebody invest cash in locating, developing,extracting, processing and seling that deposit , oohh, your 'largest deposit ' will be nothing but shit .
 
Haya makosa tuliyafanya wenyewe kupitia watu wetu wenyewe kutoka chama kile kile na kibaya zaidi kulitumia bunge hilihili ambalo zaidi ya 80% wamo bungeni leo hii. Tukiwaadhibu hawa itakuwa na manufaa zaidi ya kumwadhibu mwekezaji ambaye anajitahidi kucomply na mazingira halisi ya biashara katika nchi husika.
Ambaye ana uhakika kwamba walioingia mikataba hii walifanya hivyo kwa kutokujua (ujinga) na awe wa kwanza kuwasamehe ...wote wana utajiri usiotia shaka kuwa wameupata kupitia hiyo mikataba and the likes.
Wee nguruwe hayo unayoandika yatasaidia nini
 
Congrants Brigedia Chan umeelewa kam mm nlivyo elewa hao wezi.
 
...najua hujanielewa lakini tunavyoenda utaelewa.
Mwekezaji ku 'comply' na taratibu za nchi husika ina maana mtu anayewekeza China masharti atakayopewa kuyafuata ni tofauti na Amerika, Egypt, Kenya, South Afrika au DRC. Na yeye kwa sababu keshaona opportunity katika anachokihitaji atayafuata tu, mfano DRC ukienda kuwekeza maeneo ambayo serikali ina nguvu wanadai eti ni kuihakikishia familia na washirika wa watawala share yao na utapata ulinzi masaa 24 wakati ukivuna usikopanda na ukienda eneo ambako waasi wana nguvu basi wewe unamuona kamanda wa waasi na anakupa ulinzi na njia zote za eneo husika. Hapo usije kushangaa Joseph Kony aliwezaje kukusanya pembe za ndovu na kuziuza vipi ...na pesa alilipwaje na nani alimlipa ili kuendelea kumiliki siraha na kuwasumbua wananchi wasio na hatia. The more risk you take the more chances of making it ...urahisi wa kutajirika!
Vivyo hivyo na hapa acacia huenda walitanguliza 'conman' wao na akawahakikishia kuwa 'wakuu wanaingilika'. Na kwa vile hayo ndio yalikuwa mazingira waka 'comply' nayo wakaanza kuvuna na biashara yao ikishamiri huku sisi tukiendelea kukosa dawa na hata madawati ya kukalia!!! Naamini wangelikuwa Kenya pia wangefuata masharti ya huko vivyo hivyo wangelikuwa Japan au India. Inaumiza lakini ndio ukweli!
Kama siko sahihi nisahihishwe hawa ACACIA si ndio walikua wanaitwa BARIC GOLD MINE? if am not mistaken waliamisha HQ zao toka SA kuja Tz? Kwanini waliamishaHQ kuja Tz?
 
WaKenya wanachukia sana wanapoona tunakaribia kuuona Mwanga wa kiuchumi. Hizo propaganda hatutaziangalia kabisa.
 
Kama siko sahihi nisahihishwe hawa ACACIA si ndio walikua wanaitwa BARIC GOLD MINE? if am not mistaken waliamisha HQ zao toka SA kuja Tz? Kwanini waliamishaHQ kuja Tz?
Kama HQ zipo hapa kwanini ofisi ya uhasibu IPO SA. Kwamujibu wa Kamati ya Prof. Osoro, malipo ya makinikia yanafanyikia SA. Tukatae uhuni huu, fedha zote zipitie bank zilizopo nchini.
 
Nchi za ulaya na American hata China haaziwrz ku survive bila kuuibia Africa huo ndio ukweli and thete is little we can do
 
Back
Top Bottom