Bloomberg: Makinikia yaifumbua macho dunia ya biashara

rr4

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
3,325
4,624
Hapa dunia ya wafanyabiashara inawaza itafanyaje biashara na nchi ambayo haina uhakika na kesho yake.

Je sekta nyingine zitabaki salama kweli?

Tanzania's Acacia Spat Shows Deepening Battle With Business
by
Omar Mohammed
June 14, 2017, 2:00 AM GMT+3 June 14, 2017, 8:45 AM GMT+3
  • Accusation against miner is latest broadside against business
  • Tanzania needs investors to help fund $19 billion of projects
Tanzanian President John Magufuli’s escalating battles with business risk alienating the very investors he needs to drive his multi-billion dollar industrialization policy.

On Monday, the 57-year-old leader ratcheted up his dispute with miners by accusing Acacia Mining Plc of operating illegally in Tanzania and insisting the government is owed billions of shillings of unpaid taxes. It’s the latest in a series of broadsides against private investors who are being unnerved by his administration’s stance and its lack of consultation on policy. Shares in Acacia, which denies any wrongdoing, slumped as much as 16 percent.

800x-1.jpg

John Magufuli

Photographer: Simon Maina/AFP via Getty Images
“It’s negative that you have these uncertainties playing out in the market, especially at a time when you’re relying on growth and infrastructure development to be supported by private sector activity,” said Lisa Brown, a risk analyst at Rand Merchant Bank in South Africa.

Magufuli came to power 19 months ago with a pledge to industrialize sub-Saharan Africa’s sixth-biggest economy. The country has transport and utilities projects worth at least $19 billion in the pipeline, according to PricewaterhouseCoopers LLP. Last week, the Finance Ministry said it will spend at least 1.8 trillion shillings ($809 million) in the next fiscal year on projects including building a standard-gauge railway and upgrading its main port in Dar es Salaam.

‘Important Ally’
While Magufuli has said the private sector is “an important ally” in the government’s development efforts, it has yet to secure funding for the key projects like the railway. The Finance Ministry said June 7 it’s in the final stages of talks with Credit Suisse Group AG on a $500-million loan for financing projects, without providing further details.

The uncertain regulatory environment in Tanzania is likely to weigh on investment flows, threatening the viability of the infrastructure projects, BMI Research, a unit of Fitch Ratings Ltd., said last week.

“Regulatory uncertainty and higher operating costs will test the viability of future projects in a range of sectors, likely leading foreign investors to reconsider future investment, which will weigh on the country’s long-term growth prospects,” it said in a research note.

Government revenue collection in the past financial year suggests a slowdown in private sector activity and increased stress, according to RMB’s Brown. Confusion over structural adjustment of the economy and lack of clear communication from the government has resulted in slower decision making, especially on new and expansionary investment, she said.

While analysts agree that the way in which Magufuli is carrying out the reforms may be too hard-line, they also accept that the policy overhaul is necessary. The president’s approach is akin to economic nationalism that is ultimately aimed at nation-building, Gilead Teri, director of policy at the Tanzania Private Sector Foundation in Dar es Salaam, said by phone.

‘Cutting Corners’
“In the previous administration, people were used to cutting corners,” Teri said. “He thinks if the business environment is corrupt, everybody loses. If you have a system tilted towards one side it hurts the private sector.”

Calls to presidency spokesman Gerson Msigwa weren’t answered when Bloomberg sought comment, while Finance Ministry spokesman Ben Mwaipaja declined to comment when reached by phone.

EcoEnergy Scandinavia AB of Sweden. In March, Washington-based Symbion Power said it’s seeking arbitration after the Tanzanian government terminated a power-purchase agreement and is targeting a $560-million settlement.

The Symbion announcement was followed by comments from a diplomat with the U.S. Embassy in Tanzania expressing concern over “discouraging signs on the private sector side.”

“I think it’s really important when a U.S. company signs an agreement that both parties receive the goods and services and payments that have been agreed upon,” Virginia Blaser, charge d’affaires at the embassy, said in an interview with Tanzania’s Citizen newspaper published May 31. “I think there can be some improvements there.”

The latest dispute with Acacia represents an “unprecedented escalation” by the government toward the mining industry, said Ahmed Salim, an analyst with Dubai-based Teneo Strategy.

That’s left investors worried about where Magufuli might turn his attention next, said RMB’s Brown.

“No one knows whether he’s going to move onto other sectors and what it means for future investment,” Brown said.
 
hahahahahahaha, yaaan mabepari wa ajabu sana,

Rais ameshasema kuwa yeye hachukii wawekezaji wao waje ila hataki wawekezaji matapeli, tunataka win win situation, na fairness kwa kila upande, sio watunyonye kwa kigezo cha uwekezaji, kwanza ningekuwa magufuli ningetengeneza matajiri wa kitanzania kama 50 tu wanatosha, tusitegemee sana wawekezaji wa kizungu hawa wote ni matapeli.

Ni bora tuanze kutengeneza mitambo ya viwanda vyetu wenyewe kuliko kutegemea vya kwao,
 
Haya makosa tuliyafanya wenyewe kupitia watu wetu wenyewe kutoka chama kile kile na kibaya zaidi kulitumia bunge hilihili ambalo zaidi ya 80% wamo bungeni leo hii. Tukiwaadhibu hawa itakuwa na manufaa zaidi ya kumwadhibu mwekezaji ambaye anajitahidi kucomply na mazingira halisi ya biashara katika nchi husika.
Ambaye ana uhakika kwamba walioingia mikataba hii walifanya hivyo kwa kutokujua (ujinga) na awe wa kwanza kuwasamehe ...wote wana utajiri usiotia shaka kuwa wameupata kupitia hiyo mikataba and the likes.
 
Tatizo watu wenye akili kama xa kina Muhongo wanaamini Watanzania wanahela ya viwanda vya juice tu.
Lakini serikali ikiweka nia wazo lako ndugu Brigedia Chan-ocha la kutengeneza matajiri wa ndani ni zuri zaidi.
Ni kiasi cha kuwasimamia na kuwaconsult tu wasije wakageuka kuwa maadui wa taifa badala ya kuwa neema kwa taifa hili
 
Kazi kweli kweli!!!

Haki ni yetu lakini kwavile tunatumia wrong approach haki hiyo ni kama inataka kutugeukia wenyewe!

Swali ambalo hadi sasa kila nikiuliza sipati jibu ni kwanini hatukuwa bega kwa bega na Acacia wakati tunatafuta ukweli huu!!!???

Kwa mfano, kila kontena linalofunguliwa, Acacia nao wanakuwa hapo hapo wakishuhudia samples zikichukuliwa na kwenda kuzifanyia analysis. Hata huko maabara, Acacia wanakuwa na mtu wao!

Wakipata matokeo ya hizo samples, kisha zinaanza kupigwa hesabu kuangalia, based on the sample results, kontena moja litakuwa na wastani wa kiasi gani kwa madini fulani! Kote huko Acacia wangekuwepo!

Baada ya hapo, wanaangalia prevailing and historical mineral prices kisha wana-calculate kujua tangu 1998 hadi 2016, kila mwaka kwa madini husika yangetoa mapato kiasi gani!

Kote huko Acacia wanakuwepo!

Waswahili husema njia ya mwongo ni fupi!!! Kama Ripoti zote 2 ni sahihi na kama kote huko Acacia angekuwa ameshirikishwa; leo hii hawa jamaa wasingekuwa na pa kutokea!!!

Na wala wasingethubutu kutoa haya maripoti nje manake wizi ungekuwa umethibitishwa mbele ya macho yao na hivi sasa ingekuwa wanapigana kumaliza kimya kimya!!!!

Kinyume chake, from A to Z, ni watu wa upande mmoja peke yake ndio wameendesha uchunguzi halafu at the end of the day, unaibuka na ma-figure ambayo hata ukiwapa miaka 50 bado hawawezi kulipa!!!

Nani angeikubali ripoti kama hiyo?! Matokeo yake ndo haya akina Msigwa wanapigiwa simu wanakausha!!! Lakini kama kila hatua ingekuwa tumeenda nao; leo hii akina Msigwa wangekuwa na confidence manake jibu lingekuwa ni rahisi sana: "Tumesababisha pasi na shaka yoyote kwamba Acacia wametuibia miaka yote hii! Hili halina mjadala kwa sababu Acacia tuliwashirikisha hatua kwa hatua ya uchunguzi wetu!"
 
Rubbish
Wapuuzi hawa wazungu
They own media, wataanza kumchafua mh Rais
Mh Rais

NI KWELI KABISA WATAMCHAFUA MPENDWA WETU......JPM.

Ila tujiulize kwa dhati kabisa kutoka ndani ya mioyo yetu.........Je ni NANI ALIWAPATIA HAWA WAZUNGU MAJIZI VIBALI VYA KUCHIMBA MAKINKIA YETU???

NI NANI ALIKUBALI MAZUNGU HAYA YAJENGE VIWANJA VYA NDEGE MIGODINI?????

NI NANI ALIPASWA KUFUATILIA MAKINIKA HUKO YAENDAKO NA KUJUA YANACHENJULIWAJE??????

NI NANI ALIKATAA KICHENJULIO KISIJENGWE HAPA NCHINI???????

NI RAISI WA AWAMU IPI NA CHAMA KIPI ALIPEWA DONGE LA DHAHABU HUKO MIGODINI??????

NI SERIKALI YA CHAMA GANI ILIFUTA HISA ZETU KWA MAZUNGU HAYA NA NYINGINE DIVIDEND HAZIKUFUATILIWA???????????

JIBU NI::::::::>>>>>>>>>>>>>>>>>> CHAMA CHA MAKINIKIA...........CCM
 
hahahahahahaha, yaaan mabeberu wapuuzi sana,

Rais amishasema kuwa yeye hachukii wawekezaji wao waje ila hataki wawekezaji matapeli, tunataka win win situation, na fairness kwa kila upande, sio watunyonye kwa kigezo cha uwekezaji, kwanza ningekuwa magufuli ningetengeneza matajiri wa kitanzania kama 50 tu wanatosha, tusitegemee sana wawekezaji wa kizungu hawa wote ni matapeli.

Ni bora tuanze kutengeneza mitambo ya viwanda vyetu wenyewe kuliko kutegemea vya kwao,
kuna vitu hujui
Haujui kwamba kuna ushindani katika soko la dunia kupata wawekezaji. Unahisi wanatoka hapo mlimani tu na wanaletwa na shida zao.

Kwanza kuconvince mtu awekeze dollar billion 4 third world country ni issue, achilia mbali kuwaza what kind of bum is running that country.

$4 billion Sio aina ya mtaji unaokutana nao kila siku asubuhi, it's rare!
Sasa mtu anarisk hicho kiasi halafu unakurupuka tu na wimbo wa kisukuma unaitwa resource nationalism .
Resources nationalism?? my ass!

Simamia mkataba na taratibu mlizoweka na mwekezaji.
Msilite siasa kwenye mitaji ya watu.
Kuna watu wanaweka their life savings kwenye masoko ya hisa alafu wewe unashauriana tu na bashite muue mitaji yao.
 
acha umaku wewe
...najua hujanielewa lakini tunavyoenda utaelewa.
Mwekezaji ku 'comply' na taratibu za nchi husika ina maana mtu anayewekeza China masharti atakayopewa kuyafuata ni tofauti na Amerika, Egypt, Kenya, South Afrika au DRC. Na yeye kwa sababu keshaona opportunity katika anachokihitaji atayafuata tu, mfano DRC ukienda kuwekeza maeneo ambayo serikali ina nguvu wanadai eti ni kuihakikishia familia na washirika wa watawala share yao na utapata ulinzi masaa 24 wakati ukivuna usikopanda na ukienda eneo ambako waasi wana nguvu basi wewe unamuona kamanda wa waasi na anakupa ulinzi na njia zote za eneo husika. Hapo usije kushangaa Joseph Kony aliwezaje kukusanya pembe za ndovu na kuziuza vipi ...na pesa alilipwaje na nani alimlipa ili kuendelea kumiliki siraha na kuwasumbua wananchi wasio na hatia. The more risk you take the more chances of making it ...urahisi wa kutajirika!
Vivyo hivyo na hapa acacia huenda walitanguliza 'conman' wao na akawahakikishia kuwa 'wakuu wanaingilika'. Na kwa vile hayo ndio yalikuwa mazingira waka 'comply' nayo wakaanza kuvuna na biashara yao ikishamiri huku sisi tukiendelea kukosa dawa na hata madawati ya kukalia!!! Naamini wangelikuwa Kenya pia wangefuata masharti ya huko vivyo hivyo wangelikuwa Japan au India. Inaumiza lakini ndio ukweli!
 
Rubbish
Wapuuzi hawa wazungu
They own media, wataanza kumchafua mh Rais
Mh Rais
Anachokitaka Magufuli ni hicho Ili 2020 aseme hakufanikiwa kutimiza ahadi zake kutokana Na vikwazo vya wazungu. Hii ni next Mugabe movie. Maigizo ya kujifanya uzalendo. Alikuwa ndani baraza la mawaziri alikuwa bungeni Na kura Za Ndio alipiga. Hakuna mikataba mikubwa ambayo mawaziri wana sign bila mashauriano Na RAIS wa nchi. Vipi useme mawaziri waliosign mikataba wahojiwe bila marais wahusika kutokuhojiwa. Tumeshuhudia hapa project kubwa za nchi standard gauge Na manunuzi ya ndege akiwa mbele mbele , halafu Ndio tuseme kikwete Na mkapa walikuwa hawajui kinachoendelea ?
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Watanzania mbona tunapanic kwa uoga?

Mtu amekuibia kitambo sasa anaomba aendelee kukuibia, kumkatalia ni nongwa?
Unasema tusiwe waoga, nyie mnakikoroga , mnapata mnachopata mnanunuliana sahani za wali maharagwe, tukidaiwa fidia tunalipa wote. Hamuoni hata aibu mkae kimya, mnatuambia ...“ nyie wajinga msiwe waoga , really?”
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Back
Top Bottom