Bloomberg: Makinikia yaifumbua macho dunia ya biashara

Bloomberg: Makinikia yaifumbua macho dunia ya biashara

Acheni kusema ni wawekezaji hata wao wanashida ndio maana wanakuja kuwekeza huku
 
kuna vitu hujui
Haujui kwamba kuna ushindani katika soko la dunia kupata wawekezaji. Unahisi wanatoka hapo mlimani tu na wanaletwa na shida zao.

Kwanza kuconvince mtu awekeze dollar billion 4 third world country ni issue, achilia mbali kuwaza what kind of bum is running that country.

$4 billion Sio aina ya mtaji unaokutana nao kila siku asubuhi, it's rare!
Sasa mtu anarisk hicho kiasi halafu unakurupuka tu na wimbo wa kisukuma unaitwa resource nationalism .
Resources nationalism?? my ass!

Simamia mkataba na taratibu mlizoweka na mwekezaji.
Msilite siasa kwenye mitaji ya watu.
Kuna watu wanaweka their life savings kwenye masoko ya hisa alafu wewe unashauriana tu na bashite muue mitaji yao.

Acha kutishia watu bro!! Unavyosema hivyo, unaona kwamba kaja kuwekeza sehemu ambazo hana maslahi au? Kwa nini huyo mwekezaji asiende kuwekeza hicho kiasi kule Somalia? Aliona TZ kuna gold ya kutosha na mtaji anao, au unahisi aliwekeza huo mtaji kwenye magadi na sio dhahabu?!
 
Kazi kweli kweli!!!

Haki ni yetu lakini kwavile tunatumia wrong approach haki hiyo ni kama inataka kutugeukia wenyewe!

Swali ambalo hadi sasa kila nikiuliza sipati jibu ni kwanini hatukuwa bega kwa bega na Acacia wakati tunatafuta ukweli huu!!!???

Kwa mfano, kila kontena linalofunguliwa, Acacia nao wanakuwa hapo hapo wakishuhudia samples zikichukuliwa na kwenda kuzifanyia analysis. Hata huko maabara, Acacia wanakuwa na mtu wao!

Wakipata matokeo ya hizo samples, kisha zinaanza kupigwa hesabu kuangalia, based on the sample results, kontena moja litakuwa na wastani wa kiasi gani kwa madini fulani! Kote huko Acacia wangekuwepo!

Baada ya hapo, wanaangalia prevailing and historical mineral prices kisha wana-calculate kujua tangu 1998 hadi 2016, kila mwaka kwa madini husika yangetoa mapato kiasi gani!

Kote huko Acacia wanakuwepo!

Waswahili husema njia ya mwongo ni fupi!!! Kama Ripoti zote 2 ni sahihi na kama kote huko Acacia angekuwa ameshirikishwa; leo hii hawa jamaa wasingekuwa na pa kutokea!!!

Na wala wasingethubutu kutoa haya maripoti nje manake wizi ungekuwa umethibitishwa mbele ya macho yao na hivi sasa ingekuwa wanapigana kumaliza kimya kimya!!!!

Kinyume chake, from A to Z, ni watu wa upande mmoja peke yake ndio wameendesha uchunguzi halafu at the end of the day, unaibuka na ma-figure ambayo hata ukiwapa miaka 50 bado hawawezi kulipa!!!

Nani angeikubali ripoti kama hiyo?! Matokeo yake ndo haya akina Msigwa wanapigiwa simu wanakausha!!! Lakini kama kila hatua ingekuwa tumeenda nao; leo hii akina Msigwa wangekuwa na confidence manake jibu lingekuwa ni rahisi sana: "Tumesababisha pasi na shaka yoyote kwamba Acacia wametuibia miaka yote hii! Hili halina mjadala kwa sababu Acacia tuliwashirikisha hatua kwa hatua ya uchunguzi wetu!"
Mbona wamekuja kusummon?
 
kuna vitu hujui
Haujui kwamba kuna ushindani katika soko la dunia kupata wawekezaji. Unahisi wanatoka hapo mlimani tu na wanaletwa na shida zao.

Kwanza kuconvince mtu awekeze dollar billion 4 third world country ni issue, achilia mbali kuwaza what kind of bum is running that country.

$4 billion Sio aina ya mtaji unaokutana nao kila siku asubuhi, it's rare!
Sasa mtu anarisk hicho kiasi halafu unakurupuka tu na wimbo wa kisukuma unaitwa resource nationalism .
Resources nationalism?? my ass!

Simamia mkataba na taratibu mlizoweka na mwekezaji.
Msilite siasa kwenye mitaji ya watu.
Kuna watu wanaweka their life savings kwenye masoko ya hisa alafu wewe unashauriana tu na bashite muue mitaji yao.
Mbona hawaindoki?
 
Kama CCM ndio imetufikisha huku basi wacha ifanye kazi yake kurudisha mambo sawa. Waxungu na media zao wasepe tu hapa saa hivi twende kichina china ki korea kibabe ndo tutawanyoosha vema
 
Yaan ww sijui aliyekuloga amekufa!!! We've to stand for today and tomorrow not yesterday!!
Damn!!
Aliyerogwa sio mimi pekee bali kwa sauti ya JPM anasema "tumelogwa na nani", kielelezo kwamba ni sote.
Wasiwasi sio mzuri katika maisha lakini unakuja pale unapogundua kuwa miaka 15 makosa yalipokuwa yanafanyika kuna watu waliona matokeo lakini hawakusikilizwa, sasa leo walioshindwa kuona wakati ule ndio wanaanza kupata kamwanga wakati wenzao tayari wanaona miaka 20 ijayo kutatokea nini kutokana na yanayofanyika sasa. ...cha kusikitisha sasa; bado hawa wasioona mbali hawataki kuwashirikisha kikamilifu wanaoona mbali tena kwa dharau!
 
Shhhh tu
Rubbish
Wapuuzi hawa wazungu
They own media, wataanza kumchafua mh Rais
Mh Rais
shhhhhhh tulia wewe hii imekuwa baabkubwa watamjua tuuu JPM na watampa mwaliko ye si haendi kwao watamuita wenyewe na watajipendekeza sanaaa maana wameshikwa ugoni
 
Kama CCM ndio imetufikisha huku basi wacha ifanye kazi yake kurudisha mambo sawa. Waxungu na media zao wasepe tu hapa saa hivi twende kichina china ki korea kibabe ndo tutawanyoosha vema

NA NOAH ZETU MTUPE...............
 
NA NOAH ZETU MTUPE...............

Utaenda Moro fasta tu kwa treni pia tarajia foleni kuisha bongo mi flyover ya kutosha inakuja plus sekta ya kilimo na viwanda ni kucheka tu. Jipange kuinvest now
 
Symbion inamilikiwa na Serikali ya Marekani
Tutawalipa fidia kubwa sana

I will love to see Magufuli fall
Hamuwezi kukosekana mnaoliombea mabaya taifa hili, hilo halitakuwa anguko la jpm bali ni la watanzania ukiwemo na wewe.
kwakuwa ni haki yetu, kamwe hata mungu hawezi kutuacha na ndiomana hata lile dua mlilokuwa mkiomba tushitakiwe, halikufanikiwa.
na hizi ni propaganda tu, zitapita lkn ni ukweli usiopingika kuwa Jpm amefanikiwa kwa kiwango kikubwa ktk hatua za kwenda kulinda rasilimali za taifa hili.
God bless Tz
 
Barrick's Thornton Meets Tanzania Leader in Acacia Tax Feud
by
Helen Nyambura-Mwaura
June 14, 2017, 3:04 PM GMT+3 June 14, 2017, 7:48 PM GMT+3
  • Two sides agree to negotiate; Acacia says no agreement reached
  • State says mining companies evaded billions of dollars in tax
Barrick Gold Corp. Executive Chairman John Thornton met with Tanzania’s president in an effort to resolve an impasse between the government and Acacia Mining Plc, of which Barrick is a majority shareholder.

“As the negotiations have yet to commence, no agreements have been reached,” Acacia said in a statement Wednesday. “The negotiations will seek a resolution that is in the best interests of all stakeholders.”

Earlier, Tanzania’s presidency said Thornton had already had an initial meeting with President John Magufuli in the commercial capital, Dar es Salaam, and that Barrick is willing to reimburse money that’s owed to the government. Magufuli has accused Acacia of failing to pay billions of dollars of taxes. Acacia surged as much as 11 percent in London.

audit of the country’s mineral exports over the past 19 years that found mining companies failed to remit taxes of as much as 108.5 trillion shillings ($48.5 billion) since 1998.

Toronto-based Barrick, which owns 64 percent of Acacia, also agreed on Wednesday to help Tanzania build a smelter, according to the presidency’s statement, which didn’t provide further details.

“The meeting was constructive and open, with the parties agreeing to enter into negotiations to seek a resolution that is in the best interests of all stakeholders, including Tanzania, Barrick, and Acacia,” Barrick said in a statement Wednesday.
 
Kazi kweli kweli!!!

Haki ni yetu lakini kwavile tunatumia wrong approach haki hiyo ni kama inataka kutugeukia wenyewe!

Swali ambalo hadi sasa kila nikiuliza sipati jibu ni kwanini hatukuwa bega kwa bega na Acacia wakati tunatafuta ukweli huu!!!???

Kwa mfano, kila kontena linalofunguliwa, Acacia nao wanakuwa hapo hapo wakishuhudia samples zikichukuliwa na kwenda kuzifanyia analysis. Hata huko maabara, Acacia wanakuwa na mtu wao!

Wakipata matokeo ya hizo samples, kisha zinaanza kupigwa hesabu kuangalia, based on the sample results, kontena moja litakuwa na wastani wa kiasi gani kwa madini fulani! Kote huko Acacia wangekuwepo!

Baada ya hapo, wanaangalia prevailing and historical mineral prices kisha wana-calculate kujua tangu 1998 hadi 2016, kila mwaka kwa madini husika yangetoa mapato kiasi gani!

Kote huko Acacia wanakuwepo!

Precisely. Maana yake ingeundwa a joint committee ya uchunguzi. Bila shaka kwenye haya mazungumzo hilo litafanyika.
 
Anachokitaka Magufuli ni hicho Ili 2020 aseme hakufanikiwa kutimiza ahadi zake kutokana Na vikwazo vya wazungu. Hii ni next Mugabe movie. Maigizo ya kujifanya uzalendo. Alikuwa ndani baraza la mawaziri alikuwa bungeni Na kura Za Ndio alipiga. Hakuna mikataba mikubwa ambayo mawaziri wana sign bila mashauriano Na RAIS wa nchi. Vipi useme mawaziri waliosign mikataba wahojiwe bila marais wahusika kutokuhojiwa. Tumeshuhudia hapa project kubwa za nchi standard gauge Na manunuzi ya ndege akiwa mbele mbele , halafu Ndio tuseme kikwete Na mkapa walikuwa hawajui kinachoendelea ?
Pandora's box!
 
Rubbish
Wapuuzi hawa wazungu
They own media, wataanza kumchafua mh Rais
Mh Rais
Why do you call them wapuuzi? Nani wapuuzi zaidi, sisi tuliowapa bure kwa sauti za ndiyoooo au wao waliopokea baada ya makubaliano kwamba sisi tusibaki na kitu.
 
Kila nikimuona Chenge, mkapa na JK napata chuki isiyo ya kawaida,
Mimi huwa ninarudi nyuma enzi za Nyerere. Aliiona katiba ilivyokuwa mbovu na kusema akija rais dikteta wananchi wataumia. Lakini kwa bahati mbaya sana hakufanya lo lote. Here we are. Suffering.
 
Back
Top Bottom