Blood test vs Urine test

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Watoto wawili wa umri wa kati walikua wameketi nje kwenye klinik na mmoja wapo akawa analia.
Mtt wa 2: Unalia nini?
Mtt wa 1: Nimekuja kupima damu
Mtt wa 2: Kwa hiyo unaogopa?
Mtt wa 1: Hapana. Baada ya kupima damu wamenikata kidole.
- -> Mara yule mtoto wa 2 nae akaanza kulia kwa sauti mfululizo. Yule mtoto wa kwanza akawa anashangaa.
Mtt wa 1: Mbona sasa na wewe unalia?
Mtt wa 2: Nimekuja kupima mkojo..
 
  • Thanks
Reactions: 666
Back
Top Bottom