MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,966
Wadau, naomba kuelimishwa, Je kuna Ulazima wowote wa kujua/ haja ya kuzingatia blood group ya Mchumba kabla ya Kuoana?
Yeah! It is insisted!Ni kweli kuna wengine wana Rhesus negative ambayo ni 15% ktk jamii, Mwanamke anaweza kujifungua mimba ya kwanza lakin zingine itakua ni ngum.Ipo vaccination ambayo hua inafanyika kuprevent tatizo kutokea.Ni vizuri ukajua blood group ya mkeo kuna hata sickle cell nako sio nzuri.