Blood groups: Differences and conspiracy theories, ukweli ni upi?

Anauliza baba na mama wana damu group O+, mtoto atakaezaliwa na wazazi hao wawili atakuwa na group gani la damu?

Nami naongeza swali, Baba ni group B+ na mama ni O+, watoto watazaliwa na gruop lipi la damu

Cc: watu8, MziziMkavu mnahusika hapa
Bibie umeshajibiwa na Mkuu watu8 inatosha kabisa.

hadi leo sijui blood group langu
Nenda kapime ujuwe una Blood Group gani Bulldog
 
Last edited by a moderator:
Leo nmecheka sana dah!!!!! BB+,A0, haya makundi ya damu yame nish2a..!!!ninacho weza kusema ni kwamba kuna makundi ma 4 known ya damu ambayo ni A,B,AB,O japo nchi za india na nepal wana aina tofauti za magroup ya damu kwa bahadhi ya wa2.nikirudi kwa maswali ya wadau hapo juu kama baba ana B&mama anayo 0 basi mtoto atakae zaliwa atakuwa na 0 or B.pia kama mama ana A&baba ana B basi mtoto may have any types of four anaweza kuwa na A,B,AB&O.so maswala yote haya ni yaki genetic mtoto ana rithi kimoja wapo kwa wazazi .
 
Hamjambo waungwana wa jf.

Ningependa kujua hii kitu.
Mimi nini kundi 0 ve na Mume wangu mtarajiwa ana kundi 0-ve

kuna kurasa nilipitia kuzisoma sehem kuhusiana na blood groups,maelezo yalisema kwamba kuna group za damu ambazo zinadhuriana kipindi cha ujauzito ana pindi mtu anapozaa...ningependa kujuzwa..kule sikuelewa ama sikuona sehemu ambayo itahusiana na hili suali ndiyo sababu kuu ya kuuliza hapa.

Na jee mimi na huyu mume wangu mtarajiwa damu zetu zitaenda sawa ama kuna matatizo pia. Na jee kuna mbadala wake??

Natanguliza shukran.
 
Wakuu njoeni mnisaidie hapa

Kwa upande wako na wa mtoto endapo atakua ni O+ kwa kurithi blood group ya baba hakutakua na shida yoyote. Ila, kama mtoto atarithi blood group yako na kwa bahati mbaya kukatokea mchanganyiko wa damu yako na ya mtoto either kabla au wakati wa kuzaliwa inaweza kuleta shida. Wakati wa kuzaliwa endapo itatokea mtoto atapimwa blood group mara moja na kama ni O-ve atachomwa anti-D injection ili kuzuia madhara. Anyway cha muhimu kwako ni kuwa karibu na wataalamu wa afya wakati wa ujauzito na uwe muwazi kuhusu blood group yako. Elewa pia haya mambo ni 50% by 50% na umakini utakuondolea shida inayoweza tokea.
 
Kwa upande wako na wa mtoto endapo atakua ni O+ kwa kurithi blood group ya baba hakutakua na shida yoyote. Ila, kama mtoto atarithi blood group yako na kwa bahati mbaya kukatokea mchanganyiko wa damu yako na ya mtoto either kabla au wakati wa kuzaliwa inaweza kuleta shida. Wakati wa kuzaliwa endapo itatokea mtoto atapimwa blood group mara moja na kama ni O-ve atachomwa anti-D injection ili kuzuia madhara. Anyway cha muhimu kwako ni kuwa karibu na wataalamu wa afya wakati wa ujauzito na uwe muwazi kuhusu blood group yako. Elewa pia haya mambo ni 50% by 50% na umakini utakuondolea shida inayoweza tokea.

shukran mkuu.

akirithi ya 0+ ndo yangu mie kwahiyo ndiyo itakayo sumbua??
 
PIA ALICHOKIELEZA Dr.Rick kinazingatiwa.
>kwakuongezea nikwamba kutokana na kwamba 85% Ya binadam wana positive rhesus factor.
>hivyo basi mama mwenye negative rhesus factor akimuoa baba mwenye positive rhesus factor
kunauwezekano mkubwa wa kuzaa mtoto mwenye positive rhesus factor.
>Endapo itatokea vinginevyo basi kwa mtoto wa kwanza hakutokuwa na tatizo.
Bali kuanzia mtoto wa pili ni lazima afe.
>KUMBUKA KUWA SIKU HIZI KUNA VACCINE IITWAYO ''Anti-D' vaccination '' hii utolewa baada ya mtoto wa kwanza kuzaliwa na wazazi wa aina uliyoisema.
KWAHIVYO BASI WATOTO WOTE WATAKAOZALIWA WATAKUWA SAFI NA salimin.

Mkuu mbona kama sijakuelewa. Ina mana kama mama ana negative rhesus factor na baba positive rhesus factor je kwa huyo mtoto wa pili unavyosema ni lazima afe hakuna ambaye amewahi kuzaa mtoto akamtibu kisha akawa hai ama?
 
Nilishtuka sana niliposoma hizo comments zenu ikabidi niingie deep at least baada ya kusoma hii article hapa chini nimepata relief maana nilizaa nae si tu mdada bali ni mai waifu ninayempenda sana....

For example, two O blood type parents can produce a child with only O blood type. Two parents with A blood type can produce a child with either A or O blood types. Two parents with B blood type can produce a child with either B or O blood type. One parent with A and another with B can produce a child with A, B, AB or O blood types. If one parent has A and another has AB, they can either produce a child with A, B or AB blood types. If one parent has A and another has O, they can either produce a child with A or O blood types.

Blood Type Chart - Paternity determination by blood type - parents & child

Ndo maana mnaambiwa hiko kichwa na hili tumbo! Shangazi wa dadake mtupu!

Msibishe.
 
Waungwana nisaidieni baba 0+ na mama0- hii imekaaje kwenye upatikanaji wa familia
Akhsanteni na natumaini kuoata ufafanuzi
 
Wadau, naomba kuelimishwa, Je kuna Ulazima wowote wa kujua/ haja ya kuzingatia blood group ya Mchumba kabla ya Kuoana?
 
ndio... kuna wengine wana negative.... hawa huwa na complications sana hasa kwenye suala la kujifungua.. na hawazaagi watoto wengi hawa (due to their problems)... na wako wachache sana duniani wenye hili group so kwenye issue ya kuongezewa damu ni hadi umpate wa group lake tu tena wengi ni wahindi.. Sasa basi ukishajua group la kipenzi chako utajipanga vizuri ili uishi nae salama ..kama ni wa negative unaoa/olewa nae huku ukijua preservative measures ukifika wakati wa uhitaji
 
Back
Top Bottom