Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 71,124
- 94,398
ma group makuu yapo matatu,A,B,O.KATIKA MUUNGANIKO NDO TUNAPATA A,B,O,AB,AO,BO,HIVYO BASI KAMA BABA NI B+ NA MAMA NI O+,MTOTO ANAWEZA KUWA B+,O+ AU Bo.
Wrong info in red...please review
ma group makuu yapo matatu,A,B,O.KATIKA MUUNGANIKO NDO TUNAPATA A,B,O,AB,AO,BO,HIVYO BASI KAMA BABA NI B+ NA MAMA NI O+,MTOTO ANAWEZA KUWA B+,O+ AU Bo.
bado sijaelewa somo
Mie mwenyewe kanichanganya nikajiuliza hii BB+ ndio group gani hili
Bibie umeshajibiwa na Mkuu watu8 inatosha kabisa.Anauliza baba na mama wana damu group O+, mtoto atakaezaliwa na wazazi hao wawili atakuwa na group gani la damu?
Nami naongeza swali, Baba ni group B+ na mama ni O+, watoto watazaliwa na gruop lipi la damu
Cc: watu8, MziziMkavu mnahusika hapa
Nenda kapime ujuwe una Blood Group gani Bulldoghadi leo sijui blood group langu
Wakuu njoeni mnisaidie hapa
Kwa upande wako na wa mtoto endapo atakua ni O+ kwa kurithi blood group ya baba hakutakua na shida yoyote. Ila, kama mtoto atarithi blood group yako na kwa bahati mbaya kukatokea mchanganyiko wa damu yako na ya mtoto either kabla au wakati wa kuzaliwa inaweza kuleta shida. Wakati wa kuzaliwa endapo itatokea mtoto atapimwa blood group mara moja na kama ni O-ve atachomwa anti-D injection ili kuzuia madhara. Anyway cha muhimu kwako ni kuwa karibu na wataalamu wa afya wakati wa ujauzito na uwe muwazi kuhusu blood group yako. Elewa pia haya mambo ni 50% by 50% na umakini utakuondolea shida inayoweza tokea.
PIA ALICHOKIELEZA Dr.Rick kinazingatiwa.
>kwakuongezea nikwamba kutokana na kwamba 85% Ya binadam wana positive rhesus factor.
>hivyo basi mama mwenye negative rhesus factor akimuoa baba mwenye positive rhesus factor
kunauwezekano mkubwa wa kuzaa mtoto mwenye positive rhesus factor.
>Endapo itatokea vinginevyo basi kwa mtoto wa kwanza hakutokuwa na tatizo.
Bali kuanzia mtoto wa pili ni lazima afe.
>KUMBUKA KUWA SIKU HIZI KUNA VACCINE IITWAYO ''Anti-D' vaccination '' hii utolewa baada ya mtoto wa kwanza kuzaliwa na wazazi wa aina uliyoisema.
KWAHIVYO BASI WATOTO WOTE WATAKAOZALIWA WATAKUWA SAFI NA salimin.
Nilishtuka sana niliposoma hizo comments zenu ikabidi niingie deep at least baada ya kusoma hii article hapa chini nimepata relief maana nilizaa nae si tu mdada bali ni mai waifu ninayempenda sana....
For example, two O blood type parents can produce a child with only O blood type. Two parents with A blood type can produce a child with either A or O blood types. Two parents with B blood type can produce a child with either B or O blood type. One parent with A and another with B can produce a child with A, B, AB or O blood types. If one parent has A and another has AB, they can either produce a child with A, B or AB blood types. If one parent has A and another has O, they can either produce a child with A or O blood types.
Blood Type Chart - Paternity determination by blood type - parents & child