Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,599
- 2,248
kwanza inavyoonekana wewe mwenyewe hauna uhakika kama mtoto ni wa huyo mume wako ndio maana umeuliza hapa,... kama ungekuwa na uhakika usingeuliza,..
pili maswali kama haya huwa yanaulizwa na wanaume mara nyingi kwa sababu kubwa ni kuwa siri ya mtoto aijuaye ni mama so siku zote wanaume tunalea tu mtoto.,..
tatu kama unakumbuka kama kuna mtu zaidi ya mumeo ulisex nae mtafute maana possibility ya huyo mtoto kuwa wa nje ni kubwa otherwise kama umekosea vipimo vya damu
nne ni impossible narudia tena haiwezekana kwa mtoto kuwa na group o na mzazi mmoja kuwa na AB na mwingine o,..
hitimisho kwa hivyo vipimo ulivyoleta huyo mtoto sio wa mumeo tafuta baba yake mwingine au karudie kupima halafu rudi hapa tena

jaman inaelekea somo la bilojia kwa mumeo limempita kushoto............
nitakupm kukupa possible offspring bg unazoweza kupata kwenye hiyo ndoa yako.
but usiwe na wasiwasi ni mtoto wa mumeo
Mkuu watu8 nimeipitia hiyo makala, na ninaona ndio case inayoingia kwa hawa wakina dada. Vipi CIS AO, BO, na OO zinaexist.? Ama ni kwa AB pekee.?
Nadhani dada hapa amepata ahueni.
Naona watu wanarukia mada, watu8 ameelezea CIS AB na kaweka link. Pitieni kwanza ndio mje kucomment hapa. Sio mnaleta ubishi tuu
soma vizur thred yangu sijasema sina uhakika kama mtoto ni wa mume wangu nikwambie tu nina uhakika kuwa mtoto ni wake ila nataka kujua kitaalam kuhusiana na blood group so kama huna lakujibu kaa kimya kuliko kutoa majibu ya hovyo.
Hapo ni sawa kwasababu mtoto amechukua group o ambayo ni ya mama yake kama angechukua group AB ambayo ni ya baba mimba hiyo ingetoka ikiwa na miezi kuanzia 2 kwahiyo mtoto ni wake huyo bwana
Mama kama unajiamini nendeni mkapime DNA