poleni sana, umejaribu kuulizia benki ya damu hapo morogoro?Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!!
Ndugu zangu kama nilivyowaeleza hapo juu, kuna jirani yangu hapa ana tatizo la "Sickle cell" lakini amepungukiwa na DAMU kwa kiasi kikubwa. Kwa hiyo anahitaji mtu mwenye Damu group tajwa hapo juu ili kuweza kupata damu haraka, kwani pia huwa anaongezewa Damu mara kwa mara ila kuwa watu 2 huwa ndio wanaomchangia sema mmoja amesafiri kwenda Msumbiji na hawezi kurudi karibu hii na huyu mwingine anaumwa na Dengue.
Please mwenye kuwa na damu group O-ve naomba aje PM haraka mgonjwa yupo Morogoro. But kama wewe uko Dar es salaam, Morogoro, Iringa, Dodoma, Tanga naomba niambie tu nitakuelekeza jinsi ya kutoa Damu na kumfikia mgonjwa.
1. ID yako: kiben10Kwanini??
Pesa mbele mkuu sema beiDharura...!! Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!!
Ndugu zangu kama nilivyowaeleza hapo juu, kuna jirani yangu hapa ana tatizo la "Sickle cell" lakini amepungukiwa na DAMU kwa kiasi kikubwa. Kwa hiyo anahitaji mtu mwenye Damu group tajwa hapo juu ili kuweza kupata damu haraka, kwani pia huwa anaongezewa Damu mara kwa mara ila kuwa watu 2 huwa ndio wanaomchangia sema mmoja amesafiri kwenda Msumbiji na hawezi kurudi karibu hii na huyu mwingine anaumwa na Dengue.
Please mwenye kuwa na damu group O-ve naomba aje PM haraka mgonjwa yupo Morogoro. But kama wewe uko Dar es salaam, Morogoro, Iringa, Dodoma, Tanga naomba niambie tu nitakuelekeza jinsi ya kutoa Damu na kumfikia mgonjwa.
Kiben10 ana hela? Kwake Msingi-KiunoPesa mbele mkuu sema bei
Amcheki Nabii TITOHuyu jamaa kanichekesha alivyosema " group 0 anahitajika haraka" yaani nilikuwa najua MBUZI
Ha ha ha
Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!!
Ndugu zangu kama nilivyowaeleza hapo juu, kuna jirani yangu hapa ana tatizo la "Sickle cell" lakini amepungukiwa na DAMU kwa kiasi kikubwa. Kwa hiyo anahitaji mtu mwenye Damu group tajwa hapo juu ili kuweza kupata damu haraka, kwani pia huwa anaongezewa Damu mara kwa mara ila kuwa watu 2 huwa ndio wanaomchangia sema mmoja amesafiri kwenda Msumbiji na hawezi kurudi karibu hii na huyu mwingine anaumwa na Dengue.
Please mwenye kuwa na damu group O-ve naomba aje PM haraka mgonjwa yupo Morogoro. But kama wewe uko Dar es salaam, Morogoro, Iringa, Dodoma, Tanga naomba niambie tu nitakuelekeza jinsi ya kutoa Damu na kumfikia mgonjwa.
ndugu naona unanikashf wakat nimewalenga wachangiaji wasiochukulia hili swala kiuzito kuku saidia wewe,Kijana naona hujapitia hata Shule ya msingi...Hakuna nilipoandika group O bila kuandika group O-ve