Blood group AB

Blood group AB

Hizo ni Myth my dear hakuna kitu kama hicho, na kuna wengine walisema O ni Carrier wa hivyo virus yaan wao wanaambukiza lakini hawapati dalili wala magonjwa, sio kweli....

Halafu nyie wa group O mnasumbuliwa sana na maradhi ya Ngozi na Ulcers mna Acid nyingi na hamshauriwi kutumia vyakula vyenye uchachu.
Sasa mbona me napenda vichachu? Nasikia raha nikila limao 😒
 
Ninachokipenda kwa group AB ni kwamba unapokea damu kutoka kwa group lolote ila kuchangia unawachangia AB wenzako tu. Unyama sana
 
Mtoa uzi muongo,mbona mimi ni AB lakini hesabu form four niilipata C
 
Mtoa uzi muongo,mbona mimi ni AB lakini hesabu form four niilipata C
Kwani tukisema watu fulani wana maendeleo sana kwani tunamaanisha wote?

Kma umesoma na unajua maana ya research basi hutopata tabu
 
Back
Top Bottom