Blonde girl - Joke

Do you know why a blonde girl crashed a plane on landing?
Its because she thought the runway was 25ft long and about a mile wide.
No schupid blonde its the other way around
hahaha
 
Miaka ya 90 nikiishi nchi za watu, nilikuwa nikielekea Ofisi ya Viza.

Tukiwa tumesimama sehemu ambayo kulikuwa na kivuli cha miti na ni sehemu ya kuvukia barabara (kwenye taa na mistari ya Pundamilia), alikuja blonde kutoka kushoto kwetu na huku akiwa kawasha taa kuonyesha kuwa anapinda kulia (Wanaendesha wakiwa upande wa kulia). Sisi tulijua atatupita sisi, aende hadi barabara kuu na hapo ndipo apinde kulia, lilikuwa kosa.

Bibie alipinda palepale tulipokuwa tumesimama na ilibidi watu turuke kumpisha. Mungu bariki hakuwa na speed kubwa.

Kisa hasa ni kuwa alitaka kuli-park gari lake chini ya kivuli cha mti na upande wa barabara kuu, wameweka vinguzo ili watu wasi-park magari pale. Yeye akaona atakuwa mjanja zaidi kwa kupitia sehemu ya kivuko cha watembea kwa mguu.

Basi alienda moja kwa moja na sikuamini kuona ANAVIPARAMIA vinguzo vya kuzuia magari yasi-park.

Yule bonde alitoka na kuliangalia gari na Vinguzo hivyo huku akishangaa. Nilianza kufikiri mambo atakayokuwa anajisemea wakati huo na nikaijiwa kichwani haya:

"Nyie vinguzo vipi, wale binadamu pale wamenipisha nikapita, nyie mlijifanya wajanja, mmegongwa."
 
Ni zaidi ya hiyo Mkuu. Ila si wote na ni kama MITH iliyoenea sana nchi za Wazungu na zaidi zilizo mchanganyiko. Ukienda nchi za Scandinavia, huko karibu wote ni ma-Blondie na ukiona nywele nyeusi hao wengi ni mchanganyiko au wahamiaji.




Hivi blonde maana yake zuzu?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom