Bloggers wenzangu nahitaji msaada wenu

Tatizo letu watanzania, waliofanikiwa kwenye jambo huwaona wanaokuja nyuma yao kuwa ni wazembe, wavivu na wajinga. Hivi kwanini hatuna upendo kama watu wa jamii nyingine? Mtu anapofikia mahali pa kuomba msaada mahali ukaanza kumnanga hata ukimpa msaada hauna thamani tena. Tubadilike.
 
Kuna ukweli ndani yake. Ila sio wote
 
soma tena utaviona.
Blog yangu napost kiingereza,content nachanganya,natumia Adsense na Sio kampuni na Pia huwa napost manually sio autoblogging.......note nikipost kiswahili huwa napigwa warning ya Unsupported Language then nachofanya nikija kwenye page ya facebook naandikia title ya kiswahili.. Nadhani Kuanzia hapo umenielewa kidogo
 
Hapo kwenye red unamaana uwe na more than one fb page au fb Account?
Kama ni account unashaur ziwe ngapi?
 
mkuuu samahani nitumie namba zako PM kuna Kitu nahitaji tuongee samahani lakini
mkuu nataka ninunue hizo muvi zote kwenye site yako... jumla bei gani mzee mbabu, nishushie hesabu tufanye miamala, ,kaz kaz πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› ndukiiiiiiiiiiii😱😱😱😱😱
 
yea
Hapo kwenye red unamaana uwe na more than one fb page au fb Account?
Kama ni account unashaur ziwe ngapi?
h inabidi uwe na fb accounts nyingi na kula fb account iwe na page moja unayotumia kupost kwenye magroup, nashauri kwa page moja post mara 8 tu kwenye magroup tofauuti kila baada ya dakika 10....
 
mkuu nataka ninunue hizo muvi zote kwenye site yako... jumla bei gani mzee mbabu, nishushie hesabu tufanye miamala, ,kaz kaz πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› ndukiiiiiiiiiiii😱😱😱😱😱
Mkuu nunua moja moja aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…