Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,262
- Thread starter
-
- #41
Na swali linabakia je nyie mnatafuta nini kwenye hizo blog kama mnaona mnachefuka?Hiyo inaashiria kuwa na nyie mnafurahia na usikute wengine wanatumia hizo nyia kufanyia punyeto.
mkuu si uamsikiaga kwenye leo tena..............alafu wanapelekeshwa na wakian kijo bisimba na ananelia nkya eti wagombee haki zao..pyuu gademu kule kwenye siasa nilisema hakuna mwanamama anaweza kuwa raisi tz....hatuna wakina Benazir Bhuto.....tunao wakina RiRi
eti fashenisti.......hivi niulzie kila mwanamke tz ni fashenist? fasheni gani bana na mapicha ya wakina beyonce wakitoka club......Mmmeona hiyo highlighted in blue?.Amesema ni "bora wangezumgumzia Mapenzi".Lakini hizi zingine hata word mapenzi hakuna ni fashion tuu kwa kwenda mbele,kama wao ni fashionista unataka waongolee nini?besides fashion ndiyo inafanya kila mtu anapendeza.
true my sister. u r amongst the brave & respected. sasa hao wengi wanawatibulia
dada mtarajiwa hatuwezi kuwa na taifa la type za akina dada wa kitanzania......tutapotea....imaginenyinyi vipi bana mnataka issues za siasa siasa,mafisadi tuu kila kona.nani hapapendi mahali pale?acheni wadada wasasambule,ala!!
dada mtarajiwa hatuwezi kuwa na taifa la type za akina dada wa kitanzania......tutapotea....imagine
Raisi.....rachel temu
makamu.......teddy kalonga
waziri mkuu........dina marios
gavanawa pesa.....kelly01
waziri wa fedha......kui
......nchi itakuwa imeshafika kuzimu......
dada mtarajiwa hatuwezi kuwa na taifa la type za akina dada wa kitanzania......tutapotea....imagine
Raisi.....rachel temu
makamu.......teddy kalonga
waziri mkuu........dina marios
gavanawa pesa.....kelly01
waziri wa fedha......kui
......nchi itakuwa imeshafika kuzimu......
waziri wa fedha......kui
......nchi itakuwa imeshafika kuzimu......
he sounds girlish...aisee hiyo Mtarajiwa dizaini ni njemba....
hapo sasaNa Mange Kimambi awe nani? Waziri wa sheria au AG wa serikali?
Eti nwanawake mawazo yao yamekaa kingono ngono nani kawaambia hivyo nyie wanaume?
mkuu dinahicious kawafunda hao walikuwa wazembe sana na vitambi juu.....na jua alianza zamani huyo ila hizi zinafumuka sasa hivi upupu mtupu........alafu hata dinahiocios ana IQ kubwa sio kama huyo marios......Hehehehe tembea uone mama.
Angalia huyu mjasilia mali Dinahicious-Sex, Relationships & Love hivi huyu ndo huyu huyu Dina Marios?
Tembelea na kwa Nesta nae nafikiri utakuwa unampata kama umefika mawowowo lazima Nesta umjue.
Toka lini kuna kufundwa mtandaoni?mkuu dinahicious kawafunda hao walikuwa wazembe sana na vitambi juu.....na jua alianza zamani huyo ila hizi zinafumuka sasa hivi upupu mtupu........
dada mtarajiwa hatuwezi kuwa na taifa la type za akina dada wa kitanzania......tutapotea....imagine
Raisi.....rachel temu
makamu.......teddy kalonga
waziri mkuu........dina marios
gavanawa pesa.....kelly01
waziri wa fedha......kui
......nchi itakuwa imeshafika kuzimu......
Nitaenda tu. Ila na nyie muache maneno ya salon.
wacha bwana!nitaenda tu. ila na nyie muache maneno ya salon.