Abu Haarith
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 314
- 165
habari wakuu wa jukwaa hili nimekuwa nikifuatilia uzi nyingi kuhusu adsense leo nimefanikiwa kuweka adesense kwenye blog ya kiswahili kutokana na muongozo wenu japo sina uhakika kama adsense hii haitafungiwa hapo baadae unaweza kuangalia blog hiyo ya kiswahili niliweza kuweka matangazo ya adsense hapa >>> Nimefanikiwa