Blog inayolipa kwa Sasa

Blog inayolipa kwa Sasa

The Hood

Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
47
Reaction score
17
Habari zenu wakuu!

For time being nimekua nikiwaza kufungua blog lakini changamoto imekuwa ni aina gani ya blog inayolipa! Ni nini watu wanapenda ili nikiweka katika blog yangu niweze kupata viewers wengi!

Kwakua humu ndani kuna Bloggers wana experience na blogging ningeomba msaada wenu kuwa ni vitu gani vinapendelewa na watu mbalimbali ili niweke kwenye blog, pia vip kama nikiamua kutobase sehemu moja, nikawa ni mtu wa kublog udaku, technology, sports, miziki n.k
Huenda nikapata viewers wengi maana ninategemea ads zinilipe kwa kuanzia google adsense then viewers na traffic zikiwa kubwa nianze kuweka ads za kampuni kubwa hapa Tanzania!

Badala ya kubase na kitu kimoja tu (kama vile muziki) nilikuwa nataka kublog vitu mbali mbali, je hii itakuwa poa?

Kwa wenzangu mlionitangulia vip nyie mnafanyaje (mnablog vitu vingi au mmebase kwenye kitu kimoja tu)? Naombeni msaada wenu na maoni yenu please.

N.B: Nakaribisha maoni na mitazamo tofauti tofauti

Ahsanteni...
 
Ok man thank u nitaweka hivyo vitu! Nimeona kazi yako, iko vizuri
 
to be honest pesa na viewers wengi ipo kwenye mambo ya udaku na km unatumia google adsense tumiaga ma group FB ya nchi za nje zenye dollar kubwa km marekani na si tz apo utapiga mpunga for more ni pm au 0675968762
 
Unaweza kuintegrate blog yako na android application ili kuongeza viewers wengi kwa sababu watembeleaji wengi now days wapo kwenye smartphone kama unahitaji ,tembelea hii ipo playstore BONGO YETU BLOG ,kama unahitaji kutengenezea nicheki 0687 535650
 
Google adsense nasikia haikubali kwny blog ya kiswahili, ni kweli? Je kama nikiwa nachanganya english na kiswahili itaku poa au ntaonekana nazingua?
 
Ntakuchek kaka
 
Hivi blog unalipwaje ...?
Na nan haswa anakulipa..?

msaada jaman
kama utaweka google adsense utaweka matangazo ya google kwenye blog yako then utakuwa na dashboard yako itayokuwa ikikuonyesha mkwanja unavyoingia..ukifikisha dola 10 uta-select method of payment kama western union, wire transfer nk...utakapofika dola 100 pesa zako zitatumwa kwako....anayekulipa ni kampuni ya google
 
Google adsense nasikia haikubali kwny blog ya kiswahili, ni kweli? Je kama nikiwa nachanganya english na kiswahili itaku poa au ntaonekana nazingua?
zipo njia utakazotumia ili upige pesa kwenye blog yenye "contents"za kiswahili bila kufungiwa na google
 
Yuv naomba utusaidie hizo njia za kutumia blog yenye content ya kiswahili na ukaendelea kupiga mpunga WA adsense
 
zipo njia utakazotumia ili upige pesa kwenye blog yenye "contents"za kiswahili bila kufungiwa na google

Mkuu nisaidie hizo njia nitumie maana mm ntaweka contents za kiswahili na kingereza
 
Unaweza kuchagua jat
Habari zenu wakuu!

For time being nimekua nikiwaza kufungua blog lakini changamoto imekuwa ni aina gani ya blog inayolipa! Ni nini watu wanapenda ili nikiweka katika blog yangu niweze kupata viewers wengi!

Kwakua humu ndani kuna Bloggers wana experience na blogging ningeomba msaada wenu kuwa ni vitu gani vinapendelewa na watu mbalimbali ili niweke kwenye blog, pia vip kama nikiamua kutobase sehemu moja, nikawa ni mtu wa kublog udaku, technology, sports, miziki n.k
Huenda nikapata viewers wengi maana ninategemea ads zinilipe kwa kuanzia google adsense then viewers na traffic zikiwa kubwa nianze kuweka ads za kampuni kubwa hapa Tanzania!

Badala ya kubase na kitu kimoja tu (kama vile muziki) nilikuwa nataka kublog vitu mbali mbali, je hii itakuwa poa?

Kwa wenzangu mlionitangulia vip nyie mnafanyaje (mnablog vitu vingi au mmebase kwenye kitu kimoja tu)? Naombeni msaada wenu na maoni yenu please.

N.B: Nakaribisha maoni na mitazamo tofauti tofauti

Ahsanteni...
Niche yeyote ile yaweza kujipatia viewers wengi kulingana na ubora wa maudhui yake, mfano mwengine huweza jipatia viewers 2000 hadi 5000 kwa siku au saa. Kitu cha pili hakikisha blog Yako inapatikana kwenye search engine zaidi ya 50 pamoja na kushiriki link ya maudhui mapya katika blog kuelekea kwenye mitandao ya kijamii ili kujijengea traffic yenye nguvu. Mpaka hapo kikubwa ni kutumia maarifa zaidi pamoja na muda
 
Back
Top Bottom