Muumini Mwinjuma......TAMUTAMU 'Weka mkono upapase'Pole sana... ndiyo maana ya "Blind date" tia mkono upapase, utakachokuta ndiyo size yako...
Mm nimekula kama watatu humu lazima uwe na moyo mgumu
Humu unakuta mtu anajitia kuwa active kumbe ni home mom ..anawatoto watatu na ndoa ..akija basi ujue mumewe kasafir
ukimpa keyboard sasaaa..si utajua totoooz nimepata..kwa mahaba kwa washa washa zoote anajua
akija ki date kaja na kitenge mixa kikoi..lol
naskia wa JF wana vizinga balaa