Blaza Ontario popote pale ulipo, Mungu akubariki aisee!

dah, we jamaa ni kipanga, nilikua nakuonaga UD pale ila sijajua kama ni mkali wa desa, hongera kwa izo scores
 
Sijakusoma mkuu, tufahamishe na sisi huku tusafirie nyota
Hujamuelewa tu kijana huyo...!

Hapo ni kama amesimama mbele ya Altare anatoa ushuhuda kwa Nabii wao ONTARIO, akijaribu pia kuleta/kuvuta ushawishi kwa wafuasi wengine waroho wa Pesa za haraka (kwa kudanlodi tu)..

Hawa ndio wale wafuasi matapeli wa Forex na Bitcoin...!

Tuacheni tu na mchezo wetu wa Tatu Mzuka (Nguvu ya Buku)

NB: Kipato chochote kitakacho patikana kwa njia ya Kamari (michezo ya kubahatisha) na Mali zake zote, ni haramu na batili mbele ya Mungu.
 
Forex Trading inalipa sana kama utaifanya kwa kutumia akili na weledi uliofundishwa. Lakini hii biashara siyo kwa kila mtu. Hii biashara inafaida kubwa kwa watu wenye akili zao. Pambana ndugu utafikia tu malengo yako ya kutengeneza salary ya Manager kwa siku moja. Ontario amewafungua macho wengi sana.
 
Ontario kaja kivingine shauri yenu. Mwaka mpya staili mpya mkiliwa msije kuja kutia huruma hapa.
 
Vitabu umeviona mzigo
Bora ucheze tatu mzuka haina vitabu, forex mziki mnene tuachie sisi.
 
Hahah aisee lkn kuna uzi umeanzisha unasema unataka kukopa mil 5 bank afu uache kazi kuna dili umeiona sehemu.

Vp kule forex kufikisha mil 5 imeshindikana nini hahah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…