Blaza Ontario popote pale ulipo, Mungu akubariki aisee!

Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
9,104
Points
2,000
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
9,104 2,000
Nimecheka sana aiseee chali angu!
Komaaa mzeee
 
tongs

tongs

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Messages
545
Points
1,000
tongs

tongs

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2017
545 1,000
Chalii yangu sikia nikuchane....

We dogo nilisikia ulisema we ni mtu wa kutoka Musoma??
We ni mkurya, mjita? Achana na ukabila... Twende kwenye pointi...

Boy unajua mimi ni katika wale vijana tuliobahatika kumaliza ma vyuo tena kwa ma GPA makali tukiwa na theory kuwa kama hakuna wa kukushika mkono kwenye industry basi "
only GPA will back up you kwenye ajira"

Huu hapa ushahidi, hatuongei Fyoko Fyoko chalii yangu:


View attachment 600365

View attachment 600367

Achana na hayo ma karatasi hapo juu... Elimu pesa, GPA mbwembwe tu.
Boy, unajua mie ni Engineer?? Achana na hawa ma Graduate Engineer, mie ni Proffesional Engineer kabisa nimesajiliwa na ERB na Reg No yangu ni PE17X2 (hapo kwenye X nimeficha kwa usalama wangu).

Sasa Chalii yangu nadhani mpaka hapa hujaelewa lengo langu nini au sio??
Haina kwere... Ngoja nimalizie verse yangu ya mwisho then Chorus utamalizia mwenyewe:


Boy, pamoja na Uinjinia wangu huu, ma GPA makali, kusoma ma spesho school, kutoka na ma Division One ya Point tatu secondary (ngoja nikuoneshe na hii nilikua nimesahau Boy)

View attachment 600370

Umesikia chalii pamoja na hizo mbwembwe zote hapo juu, mshahara naopokea ulinifanya niwe moja kati ya Machaliii waliohisi kukata tamaa ya maisha duniani, kuichukia elimu, kuona kama kwenda shule nilipoteza muda wangu bure....
Mshahara unapata unawaza nitajenga lini, gari, sijui nioe mwaka huu sijui mwakani...

Chalii ulipokuja na idea yako ya [HASHTAG]#ForNoReason[/HASHTAG] ulitufungua mimacho yetu wengi sana...
Achana na kina Complex, Bavaria na Al-Watan waliokua tayari wanajua "Samthingi abauti Nathingi". Mie nilkua mweupe peeee....


Unajua hakuna siku nilochukia kama siku unamjibu boya Mberoya kuwa:
"Mshahara wako wa Mwezi mzima mie naupata ndani ya saa moja"

Achana na hiyo, kuna siku ukasema:
"Nikaingiza mshahara wa manager wa Bank, nikazima Laptop nikalala"

*****.... Chaliii namalizia verse yangu (usisahau kuimba Chorus):
Baada ya kutinga pale Mjengoni Jangid Plaza (session ya kwanza Group 2 nilikua napenda kukaa kiti cha mbele kabisa) last week nimeingiza mshahara wangu wa mwezi mzima ndani ya Week...
Ndio naanza chalii yangu, napambana nifikie point ya Kuingiza Salary yangu ndani ya siku tatu.
Japo Sina mpango wa kuacha kazi yangu sababu ndio Profession yangu (nimeisomea miaka 17 *****)
Ngoja nisave save ki salary changu niongeze kwenye Capital yangu boss...

View attachment 600380

Halafu yule Secretary wako yuko poa sana... Anapiga kazi fresh kabisa...
Nikifikia lengo langu la kuingiza Salary ndani ya siku tatu, nitakua nakurushia 10% umpe kila mwezi...

ONTARIO eeeeeh... Machalii wa Kijenge Juu wanakwambia we ni Nyoooko...

Mungu akubariki, Mungu ibariki TMT.
[HASHTAG]#ForNoReason[/HASHTAG]
Naomba aliyeelewa anisaidie kusamaraiz, breakfast yangu imeyeyuka itabid nianze kunywa upya. Pheeuuuwww
 
alexis jr

alexis jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2014
Messages
390
Points
500
alexis jr

alexis jr

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2014
390 500
maelezo yangetosha tu sasa na mavyeti tena mbona hujiamini i doubt sijawahi ona mtu mwenye pass marks za juu asiyejiamini ka wewe
: kuhusu mkuu ontario abarikiwe na azidishiwe kwa jitahada zake
 
Bashatu

Bashatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2015
Messages
854
Points
1,000
Bashatu

Bashatu

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2015
854 1,000
Mnanifanya kichwa changu kufikiria haraka sana.
Now napambana kusoma ~naked forex high-probability techniques for trading without indicators~ at the same time nnaandika quarter report.
 
Mhadzabe

Mhadzabe

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,577
Points
2,000
Mhadzabe

Mhadzabe

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,577 2,000
Nahifadhi maoni yangu kwa sasa
 
mvuv

mvuv

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
2,417
Points
2,000
mvuv

mvuv

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
2,417 2,000
Muongozo upi boss... Soma kwanza, then tafuta nafasi hudhuria Training.
Ukishindwa kwenda Training basi tafuta hata Mentor tu...
Jichange mtaji, Fanya demo, ukishakua confident enough, ingia rasmi.
Nakushauri uanze na mtaji mdogo kwanza, ili upate experience.
Chini ya USD 100 inawezekana?
 
colin_morgan

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
2,114
Points
2,000
colin_morgan

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
2,114 2,000
Salute kwako bilashaka wewe ulikua kipanga
 
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2017
Messages
7,918
Points
2,000
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2017
7,918 2,000
Hongera yako boss!

Nazidi kunivutiwa na hii kitu
 
Penelope

Penelope

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
718
Points
1,000
Penelope

Penelope

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
718 1,000
Lazima na mimi nijuege hii kitu,,
 
PlayBoyMwema

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Messages
1,611
Points
2,000
PlayBoyMwema

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2014
1,611 2,000
wacha niendelee kujichanga niende training ya mbeya... Huu mwaka wetu wa kutoboa na Forex
 
CCNP Engineer

CCNP Engineer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
467
Points
1,000
CCNP Engineer

CCNP Engineer

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
467 1,000
Chini ya USD 100 inawezekana?

Ndio mkuu...
Nimeshuhudia wengi tu walianza na USD 100.
Mie binafsi nilianza na USD 300, cku ya kwanza nikaingia kwa pupa bila kufata maelekezo ya Mentor nikapoteza USD 20, kesho yake nikapoteza tena USD 60....
Niligundua makosa yangu, nikatuliza akili, sasa hivi account yangu nimeipandisha vibaya sana...
But kumbuka, Lower Capital means Lower Gains....
 
Mazigazi

Mazigazi

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
5,599
Points
2,000
Mazigazi

Mazigazi

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
5,599 2,000
***** mnanipandisha morii tu humu iiiiiiiyah!! Iyahaaaa!! Yerooo suvai .


Hi kitu siiachi

Hakuna kulaza zege
 
avogadro

avogadro

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
3,380
Points
2,000
avogadro

avogadro

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
3,380 2,000
Maafisa masoko. Unapotangaza huduma mpya, ama iwe ya kweli au ya magumashi lazima uwe na maafisa masoko wa kutoa ushuhuda. Tunashuhudia makanisa ya upako kila siku wanatangzaza kupona lakini babu wa loliondo alipoibuka hao hao tena wakakimbilia huko na kutangazawamepona kabisaa, Waganga wa kienyeji na matapeli ya kuchezesha baati na sibu mitaani nao wana maafisa masoko wao wanajifanya wamekula pikipiki halafu kesho unaikuta tena ile ili imerudi wewe ukijaribu unaliwa,,, lakini kwa huu utandawazi mtu mmoja anaweza kuanzisha huduma yake halafu akawa na ID zaidi ya 10 tofautti tofauti na kijipromote mwenyewe bila ninyi kujua ( LIFE IS SECRET TO SUCCEED YOU MUST UN LOCK THE UNKNOWN CODES)
 
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
12,509
Points
2,000
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
12,509 2,000
Maafisa masoko. Unapotangaza huduma mpya, ama iwe ya kweli au ya magumashi lazima uwe na maafisa masoko wa kutoa ushuhuda. Tunashuhudia makanisa ya upako kila siku wanatangzaza kupona lakini babu wa loliondo alipoibuka hao hao tena wakakimbilia huko na kutangazawamepona kabisaa, Waganga wa kienyeji na matapeli ya kuchezesha baati na sibu mitaani nao wana maafisa masoko wao wanajifanya wamekula pikipiki halafu kesho unaikuta tena ile ili imerudi wewe ukijaribu unaliwa,,, lakini kwa huu utandawazi mtu mmoja anaweza kuanzisha huduma yake halafu akawa na ID zaidi ya 10 tofautti tofauti na kijipromote mwenyewe bila ninyi kujua ( LIFE IS SECRET TO SUCCEED YOU MUST UN LOCK THE UNKNOWN CODES)
Wabongo bana...
 

Forum statistics

Threads 1,315,424
Members 505,275
Posts 31,857,132
Top