Kumbe na wanawake huwa mnafurahia kuangalia shape za wenzenu sioAahahahahaa hawakukosea waliosema macho hayana pazia na fahari ya macho tuu...
Ikiishia hapo kwenye kutazama tuu haina madhara madhara huanza iwapo moyo ukianza kutamani na kuendelea kuzaa matunda mbele ya tamaa...
Binafsi nilikuwa naudhika sana nikiwa na mwanaume halafu anamkodolea mwanamke mwingine hadi kuzubaa au kupoteza muelekeo wa tunakoenda au tunachoongea.
Baadae nikasema ngoja nifanye majaribio, wanazubaishwa na nini wakiwaangalia wanawake makalio?? nikaanza tabia ya kuwa nawaangalia wanawake makalio yao haswa wenye shepu zao na mishedede na wale wanaovaa suruali za kubana nakodolea macho pale mbele kwenye V hadi napotezana nae na nikawa na tabia ya kugeuka naangalia na nyuma yumo?
Nilichokuja kugundua nilishaweka uzi humu JF ni fahari ya macho tuu hakuna la ziada ila kweli akili inapumbaa kwa muda, kama uko kwenye foleni magari yanaruhusiwa ila unabaki unaangalia kiuno cha mtu yaani unapoteza muelekeo kabisaa na kuna raha flani hivii unaipata.
Sasa wanaume wanaenda mbele na kusimamisha midude yao na kuanza kutongoza, mie niliishia kuzubaa tuu na kupata hako kaulemavu ambako kana uraha flani hivii (addict). Baadae nikaacha na kuanza kuwaangalia wanaume usawa wa fraizi na zipu na kifuani naangalia upana wa kifua. Kiasi kwamba nilizoea tabia mbaya hadi nikaw nakutana na wanaume wamesahau kufunga zipu nawastua, zipu yako iko wazi, wanabaki wanashangaa wengine wanatabasamu na kutaka tufahamiane wengine wanajistukia nawatizama maliwatoni mwao hadi wanapeleka mkono mbele kujikagua pako salama? aahahahahaa mie naendelea kuangalia tuu halafu tukikaribia kupishana namtizama machoni na kupita zangu sigeuki aahahahahahahhaaa it was funny ila nilishaacha na hiyo.
Angalizo: usiige mchezo wa mwenzio utakuletea mabalaa...
Kasie Matata.
kumbe huyu mrembo na msambwanda wa maana?
Naomba nikuoe Bibi KasieAahahahahaa hawakukosea waliosema macho hayana pazia na fahari ya macho tuu...

Futa kauli tafadhali, Kasinde ni kigahula aliyenyauka nyama zote nimebakia makunyanzi tuu.
Sina tako wala mshedede, nimebaki na ulimi tuu wa kutamka maneno ya Mahaba baasi.
Me nakusalimia tu mama jamali shikamoo [emoji23][emoji23][emoji23]Aahahahahaa hawakukosea waliosema macho hayana pazia na fahari ya macho tuu...