Blaza Alphonce Hayupo Kabisa Aisee...!

Hebu weka picha, ili tuhakikishe unachosema bila kusahau kavideo kanakoonyesha ukitoa maneno ya mahaba...

Sent from my iPhone using JamiiForums

1589738144784.png

Aaaminiye na kukubaliana na uhalisia ameokoka na kupata mema yote. Asiyeamini ameukosa ufalme wa Mahanjam.
 
sasa huyo ni wewe, au ni mmoja wapo wa hao ambao ulikuwa ukiwatazama wapitapo...!?

Sent from my iPhone using JamiiForums

Unaona sasa, ushaanza kupata mashaka. Nakwambia ji wachache sana wataofanikiwa kuingia ufalmeni ahahahahaa

1589744583283.png

Zote ni Kigagula Kasinde, moja before nyingine after.
 
Unaona sasa, ushaanza kupata mashaka. Nakwambia ji wachache sana wataofanikiwa kuingia ufalmeni ahahahahaa

View attachment 1452865

Zote ni Kigagula Kasinde, moja before nyingine after.

🤣🤣🤣
Basi bibi, ila nahisi hapo mchangani lazima uliteguka shingo tu, ndio maana hiyo avatar yako nikiitazama kwa makini naona ni ya mtu mwenye tatizo la shingo
Sasa bibiye kwa hiyo, kwenye ile before na rangi yako ikabadilika baada ya kupiga gym siyo, au ulishika shika vifaa vya umeme so kwa sababu ya ushamba ukalambwa shoti

Wee nawee mgumu kuelewaaaa....

Hiyo niliyo kwenye mchanga hapo ni jangwani, jua lote langu. Kuna mchezo insures Fear Factor, niliufanya kwenye mazingira magumu kwa miezi 2 mfululizo na hiyo ya jangwani ndo nilikiwa naanza aanza Fear Factor.

Hiyo ya gym hapo nsharudi mjini nimejisopusopu na mapouda malosheni ya kila aina kasoro mkorogo tuu, hizo nywele ni kofia nisikutishe nna bonge la upara.

Na editing pia ilifanyika kwenye hiyo picha ya after so rangi ya mkononi na kwenye kiuno unaiona bright kidogo, ila asili yangu ni hiyo rangi ya kwenye avatar.

Usipopigwa na jus na kunawa vumbi bila mapakopako unatakata meadow uwe unaoga maji baridi (sio ya chumvi) kila siku.
 
Aahahahahaa hawakukosea waliosema macho hayana pazia na fahari ya macho tuu...

Ikiishia hapo kwenye kutazama tuu haina madhara madhara huanza iwapo moyo ukianza kutamani na kuendelea kuzaa matunda mbele ya tamaa...

Binafsi nilikuwa naudhika sana nikiwa na mwanaume halafu anamkodolea mwanamke mwingine hadi kuzubaa au kupoteza muelekeo wa tunakoenda au tunachoongea.

Baadae nikasema ngoja nifanye majaribio, wanazubaishwa na nini wakiwaangalia wanawake makalio?? nikaanza tabia ya kuwa nawaangalia wanawake makalio yao haswa wenye shepu zao na mishedede na wale wanaovaa suruali za kubana nakodolea macho pale mbele kwenye V hadi napotezana nae na nikawa na tabia ya kugeuka naangalia na nyuma yumo?

Nilichokuja kugundua nilishaweka uzi humu JF ni fahari ya macho tuu hakuna la ziada ila kweli akili inapumbaa kwa muda, kama uko kwenye foleni magari yanaruhusiwa ila unabaki unaangalia kiuno cha mtu yaani unapoteza muelekeo kabisaa na kuna raha flani hivii unaipata.

Sasa wanaume wanaenda mbele na kusimamisha midude yao na kuanza kutongoza, mie niliishia kuzubaa tuu na kupata hako kaulemavu ambako kana uraha flani hivii (addict). Baadae nikaacha na kuanza kuwaangalia wanaume usawa wa fraizi na zipu na kifuani naangalia upana wa kifua. Kiasi kwamba nilizoea tabia mbaya hadi nikaw nakutana na wanaume wamesahau kufunga zipu nawastua, zipu yako iko wazi, wanabaki wanashangaa wengine wanatabasamu na kutaka tufahamiane wengine wanajistukia nawatizama maliwatoni mwao hadi wanapeleka mkono mbele kujikagua pako salama? aahahahahaa mie naendelea kuangalia tuu halafu tukikaribia kupishana namtizama machoni na kupita zangu sigeuki aahahahahahahhaaa it was funny ila nilishaacha na hiyo.

Angalizo: usiige mchezo wa mwenzio utakuletea mabalaa...

Kasie Matata.

Mnatakiwa muelewe Tu kwenye suala la ngono , ubongo wa mwanaume unategemea reaction ya macho Kwa zaid ya 80% ili kuamsha hsia ...hyo ni given kama pie
 
Wee nawee mgumu kuelewaaaa....

Hiyo niliyo kwenye mchanga hapo ni jangwani, jua lote langu. Kuna mchezo insures Fear Factor, niliufanya kwenye mazingira magumu kwa miezi 2 mfululizo na hiyo ya jangwani ndo nilikiwa naanza aanza Fear Factor.

Hiyo ya gym hapo nsharudi mjini nimejisopusopu na mapouda malosheni ya kila aina kasoro mkorogo tuu, hizo nywele ni kofia nisikutishe nna bonge la upara.

Na editing pia ilifanyika kwenye hiyo picha ya after so rangi ya mkononi na kwenye kiuno unaiona bright kidogo, ila asili yangu ni hiyo rangi ya kwenye avatar.

Usipopigwa na jus na kunawa vumbi bila mapakopako unatakata meadow uwe unaoga maji baridi (sio ya chumvi) kila siku.

Hahaa, basi bibi yangu!
Hongera kwa kujikubali, ila now shavu limevimba utadhani daima unakula kungu, uwe unapiga mchakamchanga ufike angalau vilima vya bonyokwa huko, usijepoteza umalikia wako mapema, kiono kilainike mama!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahaa, basi bibi yangu!
Hongera kwa kujikubali, ila now shavu limevimba utadhani daima unakula kungu, uwe unapiga mchakamchanga ufike angalau vilima vya bonyokwa huko, usijepoteza umalikia wako mapema, kiono kilainike mama!

Sent from my iPhone using JamiiForums

Ntafanya yote hayo huku nikiwa naimba, jua lilee na literemkee mamaa....
 
Back
Top Bottom