Blandina Nyoni ni NANI!

Blandina Nyoni ,KATIBU MKUU wizara ya afya ,ambaye pia aliwahi kuwa mhasibu mkuu wa serikali ,na kuwa katibu mkuu wizara ya mali asili ni mojawapo ya wanawake maarufu nchini,
Pengine labda kutokana na nyadhifa alizoshika mf Mhasibu Mkuu wa SErikali na kM wa wizara kubwa mbili.Lakini haiba yake ya kama kiongozi imemjengea hali ingine inayofanya wadadisi kujiuliza huyu mama ni nani!
Achilia mbali kuwa ni Board member wa WAMA,NGO Ya Mama Salma Kikwete iliyopo Ikulu!sijui alipenyaje huko!lakini matendo yake akiwa KM yanatia mashaka kama kweli huyu ni katibu mkuu kama wengine!niHebu angalia mifano hii ya maamuzi akiwa wizara ya afya!....
Kwa miaka 2 mama huyu amefanikisha wizara kutumia zaidi ya Sh.Billion 4 kushiriki maenesho ya Sabasaba na Nane ambako amekuwa akifanya kufuru kubwa.
Mfano mdogo mmoja ni sare ,mama Blandina amewezesha wizra ya afya kuwanunulia washiriki wapatao 1000 suti jozi 6,ambazo thamani yake ni karibu shi Bilioni 2.7!nguo hizi zimekuwa zikiletwa na Duka la Mariedo moja kwa moja toka Uingereza.!Maswali ya kujiuliza hapa je haya ni matumizi yaliyohalalishwa na bunge kweli ,kumbuka Bilioni 2.7 zingeweza kununua vitanda 2700! vya hospitali kwa bei ya Tsh.1,000,000 kila kitanda ,natumaini kwa mtaji huu shemeji,wifi,wake ,mama,shangazi zetu wasingekuwa wanallala chini kule AMAna,Ilala na MUHIMBILI!
jAMBO LINGINE LINALOTIA MASHAKA NI MCHAKATO WA MANNUNUZI UANAOFANYIKA!LICHA YA KUWA FEDHA HIZO HAZIPITISHWI NA BUNGE LAKINI NAMNA AMBAVYO KAMPUNI YA MARIEDO IMEKUWA IKISHINDA ZABUNI HII KWA MIKA MIWILI MFULULULIZO NI MASHAKA MATUPU!
KUTOKANA NA MFANO HUU TU MDOGO NAOMBA WADAU MNIFAHAMISHE HUYU MAMA ANATOA WAPI NGUVU HII YA KUNUNUA NGUO ZA MAENESHO KWA VITANDA VYA HOSPITALI 2700!

Kama hizi habari ni za kweli basi tena nchi hii inaangamia kwa viongozi wake kukosa maarifa!! Yaani wizara ambayo inatakiwa iwe na ambulance za kubeba wajwazito ndio inaendekeza ufahari huo? Yaani wazazi wanalala mizungu ya nne lakini inaonyesha ufarahi kwenye maonyesho yasiyokuwa na tija!! Ila sishangai kwa maana kuna siku moja nilikuwa naongea na RAS mmoja wa mikoa ya kusini akaniambia kuwa walikuwa na shughuli ya kuwahamasisha watu kunawa mikono ikabidi wakodi matenki ya maji kwa zaidi ya Tshs. million 10 wakaenda kuwafundisha kunawa mikono kisha wakaondoka na matenki yao na kuwacha wanakijiji hawana maji ya kuendelea kunawia mikono!!! Kule kijijini kulikuwa hakuna maji badala ya kutumia mamilion hayo kuchimba visima wao wakakodi matenki kifisadi. Na hao wa afya wanavaa kitanashati kwenye maonesho wakati hakuna vitanda mahospitalini wana maana gani? Kuna siku watu tutachapana viboko hadharani. Nimechoka ngoja nili fresh kwa kuangalia mpira wa Arsenal na Man U huenda nikasahau kama naishi Tanzania !!
 
Kweli zile suti kiboko kuna jamaa mwaka jana alivaa akasema hata kwenye harusi yake hakuvaa suti kali hivyo
 
...Nadhani anahitaji umakini zaidi, gazeti la Majira la tarehe 26/04/2011 ameorodhesha list ya Madaktari bingwa na kuwapangia vituo hospitali za mikoa, wakaandika na hospitali waliopo kwa sasa ambazo wengi walishatoka huko, walioorodheshwa wengine walikuwa discontinued wakati wakisoma huo udaktari bingwa, wengine bado hadi leo hawajamaliza lakini wametajwa kama madaktari bingwa na kutakiwa kuripoti vituoni....hapo umakini uko wapi??, wengine wameendelea kusoma Masters of Science kama mambo ya Moyo, Figo.., wengine ni walimu katika chuo kikuu kipya cha UDOM chenye course ya udaktari, au alitegemea wafundishwe na nani? Wengine ni walimu hapo Muhimbili, au ulidhani hao wazee hapo watafundisha milele na kuongeza mikataba kila siku bila kuandaa walimu vijana???? Hivi huko wizarani hakuna kupitia files za waajiriwa wao wajue wako wapi hadi wanawapangia vituo mara mbili mbili??? wengine kuandikiwa ubingwa tofauti na waliosomea..... hapo kwa mtazamo wangu hakuna umakini... tafuteni hili gazeti na wengine jina moja wamepangiwa vituo viwili sasa sijui anaripoti kituo gani.....hapo penye red napata wasi wasi
Pili aliongelea kufutiwa usajili... hapo mama alichemka nadhani apitie sheria kidogo.. mwajiriwa anafutiwa usajili na Medical Association of Tanganyika kama atabainika kufanya professional misconduct.. hafutiwi usajili na wizara ya Afya..... ushauri.... ni vyema wakajaribu kupitia file za hawa madaktari, kuwasiliana na vyuo vyote vya serikali na vingine, hospitali zote za serikali na nyingine, kwa na mashirika... kwa mtindo huu mtajua madaktari wenu bingwa wanatoa huduma wapi...Kazi njema, natumaini huwa unapita humu kama hupiti huenda watendaji wako wanapita humu jamvini na watakupa ujumbe.....usifanye kazi kisiasa kisa waziri kaulizwa bungeni kwa nini madaktari bingwa hawapo hospitali za mikoa na wewe unakurupuka na kubandika majini magazetini... kwanza hizo hospitali umeziwezesha kufanya kazi na hao bingwa au wataenda wabaki kuzurura huko??? vyumba vya upasuaji bora, vifaa vya kutosha, vipimo... naangalia pesa alotumia kununua suti wakati wa 77 ungeweza kuimarisha sana hizo hospitali za mikoa unazotaka mabingwa wako waende.

Mkuu hapa umenena.
Naamini huyu mama hana umakini wowote zaidi ya kuwa mkurukukaji. Na huu ukurupukaji unaweza ukawa na faida vilevile kwa sababu hii inaonyesha ni jinsi gani serikali haijui waajiriwa wake wako wapi. Kama serikali haina taarifa juu ya locations za watumishi wake, hiki ndicho chanzo cha kutafunwa kwa pesa za serikali. Iwapo serikali inatambua mtumishi wake yuko labda hospitali ya Manyoni wakati mtumishi huyo yuko hospitali ya Musoma. Hii inamaanisha kuwa kuna mshahara mmoja utaenda Manyoni na huku kule Musoma akilipwa mshahara wake. Sasa huo unaokwenda Manyoni nani anapokea?

Serikali especially Utumishi wanatakiwa kuwa na Database ya watumishi wake na kuwe na uwezo wa wizara tofauti ku-access database hiyo kwa watumishi wa wizara husika. Hiki ni kitu rahisi, hata mimi mwenyewe naweza kutengeneza. Lakini tatizo vijana wasomi ndiyo wanapondwa kuwa wameharibiwa na mageuzi au demokrasia. Hapa kuna shamba la mtu kuvuna.
Let us get SERIOUS kuwatendea wananchi wetu HAKI.
 
Vita ya kibiashara unaleta huku.kwani yeye ndie purchasing officer?
Kabombe

nadhani una matatiz kidogo... Blandina may not be a purchasing officer but she has influence on decisions

Hii thread has come out very late... I am sure one day yatakuja yote but binafsi nimepata wasiwasi na maonyesho, ajira, vitisho kwa madaktari, fraud mbalimbali, nepotism kwenye selection ya board members (confirmed) nk.

she is a hard working woman, but she sometimes reward herself too much
 
Blandina Nyoni aliwahi kuwa mhadhiri Mzumbe university, akafanya kazi USAID, kabla ya kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali, alikuwa kamishna TRA. Yeye ana sifa ya kufuatilia watu wake wa chini kwa kweli anaijua kazi yake ipasavyo:smile-big:
hizi feva zitatuua.........
 
...Nadhani anahitaji umakini zaidi, gazeti la Majira la tarehe 26/04/2011 ameorodhesha list ya Madaktari bingwa na kuwapangia vituo hospitali za mikoa, wakaandika na hospitali waliopo kwa sasa ambazo wengi walishatoka huko, walioorodheshwa wengine walikuwa discontinued wakati wakisoma huo udaktari bingwa, wengine bado hadi leo hawajamaliza lakini wametajwa kama madaktari bingwa na kutakiwa kuripoti vituoni....hapo umakini uko wapi??, wengine wameendelea kusoma Masters of Science kama mambo ya Moyo, Figo.., wengine ni walimu katika chuo kikuu kipya cha UDOM chenye course ya udaktari, au alitegemea wafundishwe na nani? Wengine ni walimu hapo Muhimbili, au ulidhani hao wazee hapo watafundisha milele na kuongeza mikataba kila siku bila kuandaa walimu vijana???? Hivi huko wizarani hakuna kupitia files za waajiriwa wao wajue wako wapi hadi wanawapangia vituo mara mbili mbili??? wengine kuandikiwa ubingwa tofauti na waliosomea..... hapo kwa mtazamo wangu hakuna umakini... tafuteni hili gazeti na wengine jina moja wamepangiwa vituo viwili sasa sijui anaripoti kituo gani.....hapo penye red napata wasi wasi
Pili aliongelea kufutiwa usajili... hapo mama alichemka nadhani apitie sheria kidogo.. mwajiriwa anafutiwa usajili na Medical Association of Tanganyika kama atabainika kufanya professional misconduct.. hafutiwi usajili na wizara ya Afya..... ushauri.... ni vyema wakajaribu kupitia file za hawa madaktari, kuwasiliana na vyuo vyote vya serikali na vingine, hospitali zote za serikali na nyingine, kwa na mashirika... kwa mtindo huu mtajua madaktari wenu bingwa wanatoa huduma wapi...Kazi njema, natumaini huwa unapita humu kama hupiti huenda watendaji wako wanapita humu jamvini na watakupa ujumbe.....usifanye kazi kisiasa kisa waziri kaulizwa bungeni kwa nini madaktari bingwa hawapo hospitali za mikoa na wewe unakurupuka na kubandika majini magazetini... kwanza hizo hospitali umeziwezesha kufanya kazi na hao bingwa au wataenda wabaki kuzurura huko??? vyumba vya upasuaji bora, vifaa vya kutosha, vipimo... naangalia pesa alotumia kununua suti wakati wa 77 ungeweza kuimarisha sana hizo hospitali za mikoa unazotaka mabingwa wako waende.
safi sana, wewe ni mdau

Mama nyoni ni mchapa kazi, lakini she is overly corrupt na ana issues nyingi sana za kuvunja taratibu, power abuse etc

Ila hili la kuingilia madaktari amekosea.... tukumbuke kwamba hata zile ajira walizotangaza mwaka jana za wataalam wa afya, hakufuata taratibu kadhaa na tumeajiri hawakuwa involved

ana calliber ya kuvimba kichwa na kusahau taratibu

but with the current blunder, reality is zeroing on her
 
Naomba niwaombe pia tujadili jinsi hii Mariedo inavyoshinda hzo tenda,maana mleta mada amejaribu kuonyesha wasiwasi wake
 
Naomba niwaombe pia tujadili jinsi hii Mariedo inavyoshinda hzo tenda,maana mleta mada amejaribu kuonyesha wasiwasi wake
kushinda tender ni moja but kutumia bilioni wakati wagonjwa tena wake zetu na dada zetu wanajifungua mbele ya watoto ni another issue
 
kushinda tender ni moja but kutumia bilioni wakati wagonjwa tena wake zetu na dada zetu wanajifungua mbele ya watoto ni another issue

Mariedo hashindi zabuni hata moja bali kinachofanyika ni kwamba Chief Supplies Officer anaambiwa tu 'fanya utakachofanya lakini nataka nguo zitoke duka la Mariedo'. Na Chief Supplies officer hawezi kupinga kwa vile ni yeye Blandina aliyemleta hapo baada ya kumwondoa mtangulizi wake ambaye alikuwa ni strict katika procedures za manunuzi.
 
Du haya mambo yanatisha,huyu mama si board member wa Wama!!!!!???
Au haya yanayojadiliwa yanauhusiano!MOD MSIITOE THREAD HII , TUTAONA MENGI......KUMBUKA MAONESHO MENGINE YANAKARIBIA !
Kwani TAKUKURU HAWAWEZI KUFUATILIA MCHAKATO WA DUKA LAMARIEDO KUSHINDA TENDA HIZI MARA ZOTE, JE FEDHA HIZI ZILIPITISWA NA BUNGE!!!!!!!!????????????
 
She is more of a liability to the Kikwete regime than an asset; the sooner they offload her the better for their survival!! Mama huyu ana madudu mengi sana toka alivyokuwa katibu mkuu wizara ya Maliasili, how she manages to survive with all these dubious deals only God knows!
 
kwa hiyo leo kimenuka rasmi hiii ilikuwa mwaka jana may 2011,kafanya madudu mangapi wizarani?
 
Back
Top Bottom