acha ujinga, unajua kuwa bajeti za institutes zilizo chini ya afya zilikuwa zinaishia kwake? mfno mnh ikiletwa m250 m50 inarudishwa kwa hundi wizarani bila matumizi ya kueleweka? mtafute dr lipyoga akupe mkanda wa huyu fisadi.Kwani hapo Afya alifanya nini zaidi ya majungu na mapambano na MAFISADI, yeye akiwa upande wa wananchi. huyu ni kama yule Dr. Masau walipigwa vita kwa sababu alitaka kuiweka wizara ktk right direction basi. Take it from ME.
Mkuu hapo hamna kitu ni mbwembwe tu za magazeti,huyu mama kabla ya kuwa mhasibu mkuu wa Serikali alikuwa mmoja wa makamishna wa TRA.Kilichofanyika ni kumrudisha tu alikotokea,hakuna jipya hapo!
One of the right direction in kuzipa tenda kampuni zake za Mariedo na Mzenzi Contractor?.... Humjui huyu mwizi...
duuu Mariedo ni ya kwakeOne of the right direction in kuzipa tenda kampuni zake za Mariedo na Mzenzi Contractor?.... Humjui huyu mwizi...
Huo ndiyo utamu wa kufanya kazi Serikalini!lakini hii haida faida kwa taifa kwa ujumla!Teh teh teh teh!! Permanent and Pensionable!!!
Huenda alikuwa secondment huyo hivyo karudi kwenye ajira yake ya kudumu! Ajira serikalini tamu! Ukiharibu hapa unarudishwa ulikotoka.
Kudadeki,mwanamama anajiandaa kustaafu!Dah fisi kakabidhiwa bucha kwa awamu nyingine
Mkuu unachohoji ni sahihi kabisa,lakini hiyo ndiyo hali halisi ya nchi yetu!Kwahiyo hiyo nafasi ya ukamishna ilikuwa wazi inamsubiria yeye muda wote alipokuwa amepelekwa hazina na kisha baadae wizara ya afya? au hakuna mtanzania mwingine mwenye uwezo wa kuwa kamishna kwahiyo wakalazimika kumrejesha the failure Blandina Nyoni?
Kudadeki,mwanamama anajiandaa kustaafu!
Sasa hivi hata fanya ajinsi, hakuna kulemba ni full malupulupu kibao
kazi ya Dr.Uli ulishakamilika so, lazima aule!!
Kwani hapo Afya alifanya nini zaidi ya majungu na mapambano na MAFISADI, yeye akiwa upande wa wananchi. huyu ni kama yule Dr. Masau walipigwa vita kwa sababu alitaka kuiweka wizara ktk right direction basi. Take it from ME.