kaka nimeskia app za android una sideload. kuside load kunamaanisha hivi.
kwanza unatafuta app unayoitaka halafu unatafuta eneo ambapo utapata apk file la hio app. mfano unataka instagram basi utasearch hio instagram upate link ya kudownload apk file. kwa kutest download instagram hapa.
Download Instagram.v4.2.2.apk
ukishadownload hio apk itajisave kwenye simu yako so wewe fungua file manager halafu itafute hio apk. mara nyingi browser zinasave mafile kwenye folder la downloads halafu open hio apk toka file manager. hapo ndo ita install.
kama itakubali tafuta 3rd party store za android kama amazon, 1mobile market, yandex store na nyenginezo zitakupunguzia kazi.