Blackberry waja na simu mpya, Blackberry passport

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
Basi nikjua kampuni ya blackberry ilishajifia kitaaambo, actually haipo kwenye race za smartphone japo siku za awali wao ndio walikuwa vinara, anyways siku mbili zilizopita jamaa wametoa kitu kipya walichokipa jina la Blackberry Passport.

bb-passport_1.png

simu hii ina kioo cha mraba pamoja na physical keyboard yenye mistari mitatu. Sababu ya kuitwa blackberry passport ni vile inalingana upana na passport ya canada...
Passportpassport4.jpg

haraka haraka tuangalie feature zake:

kamera 13 megapixel
betri linalodumu mpaka masaa 30
ina 32 GB za storage
ram 3gb

p4.jpg
katika features ambazo zimenivutia ni ile usb connection hub ambapo unaweza kuconnect na mac au pc kisha ukatumia keyboard ya kompyuta kufanya shughuli zako bila taarifa zozote kuingia kwenye pc

p2.jpg

pia nimependa android simulator ambapo blackberry wanakuruhusu kuinstall app za android kutoka amazon store (japo sio app zote zinakubali)
BlackBerry-Passport-Amazon-App-Store.jpg

wenyewe wanachodai hii simu imedizainiwa kwa ajili ya corporate users. na sio watumiaji wa kawaida.

kwa ujumla mie sijaifyagilia sijui nyie wadau wengine mnasemaje kuhusu huu ujio wa blackberry

usiku mwema guys​
 
Hii simu nimeipenda, na inaonekana uwezo wake ni mkubwa. CPU 2.26 GHZ, RAM 3 GB CAMERA 13 MP. Pia kwenye video pamoja na battery imekaa vizuri, kwa ujumla ni simu nzuri na bei yake imeenda juu kidogo.
 
Bei ni ngapi??
 
Basi nikjua kampuni ya blackberry ilishajifia kitaaambo, actually haipo kwenye race za smartphone japo siku za awali wao ndio walikuwa vinara, anyways siku mbili zilizopita jamaa wametoa kitu kipya walichokipa jina la Blackberry Passport.

bb-passport_1.png

simu hii ina kioo cha mraba pamoja na physical keyboard yenye mistari mitatu. Sababu ya kuitwa blackberry passport ni vile inalingana upana na passport ya canada...
Passportpassport4.jpg

haraka haraka tuangalie feature zake:

kamera 13 megapixel
betri linalodumu mpaka masaa 30
ina 32 GB za storage
ram 3gb

p4.jpg
katika features ambazo zimenivutia ni ile usb connection hub ambapo unaweza kuconnect na mac au pc kisha ukatumia keyboard ya kompyuta kufanya shughuli zako bila taarifa zozote kuingia kwenye pc

p2.jpg

pia nimependa android simulator ambapo blackberry wanakuruhusu kuinstall app za android kutoka amazon store (japo sio app zote zinakubali)
BlackBerry-Passport-Amazon-App-Store.jpg

wenyewe wanachodai hii simu imedizainiwa kwa ajili ya corporate users. na sio watumiaji wa kawaida.

kwa ujumla mie sijaifyagilia sijui nyie wadau wengine mnasemaje kuhusu huu ujio wa blackberry

usiku mwema guys​

I always respect blackberry
The guys are different and independent
 
Yale mambo yao ya kulipia vifurushi vyao nimeyakimbia
 
blackberry zote za kisasa kuanzia z10, q10, z30 na kuendelea hazinaga kulipia vifurushi. unanunua data kawaida tu kama simu zingine..

tatizo kubwa kwenye latest blackberry ni bei kubwa sana. nilishaiona z30 imesimama vibaya mno sema bei sasa ni ya kiwanja mabwepande
 
Hapa ni mbuzi ale urefu wa kamba yake.
 
Sijaipenda, design iko square zaidi kuliko rectangle, sipendi physical keypad, specs zingine kama camera, ram na storage sinza tatizo.
 
Ndiyo maana wakasema imetengenezwa maalumu kwa corporate users.
 
blackberry kweli inaelekea kufa kbisa km alivyosema mdau mwanzo. ujio wa hii.passport umeleta mapinduzi ata.wao hawakutegemea. coz week moja wameuza unit si.chini.ya 200k. sio mbaya.
ila wakae wkijua mbali nainnovtions kwa ssa kulivyo na ushindni esp wa hizi androids wngetengeneza midrangers zenye.specs nzuri na bei affordble. hii passport bei ghali.sana.
kama wewe umetumia sana os ya android ukigusa bb 10 os utajua nini namaanisha. wako vizuri sana shida ni bei mkasi.
 
kuna z3 mbona simu ambayo kuna maeneo ya dunia inauzwa kama 300,000 na ina specs za maana
 
simu ukiiangalia tu inafanana na suti. kwa corporate itauza sana
 
Wanachoniboa BB ni
-Downloading limitations
-Battery kuisha haraka
-Airtime kupukutika bila taarifa
-Hudownload apps mpaka data plan
-SD card files hupotea
-Unsupported SD card files
-System hubadilika badilika
Na mengine mengi tu,hamjanishawishi kulitumia hilo li passport.
 
Back
Top Bottom