Blackberry waja na simu mpya, Blackberry passport

Blackberry waja na simu mpya, Blackberry passport

Wanachoniboa BB ni
-Downloading limitations
-Battery kuisha haraka
-Airtime kupukutika bila taarifa
-Hudownload apps mpaka data plan
-SD card files hupotea
-Unsupported SD card files
-System hubadilika badilika
Na mengine mengi tu,hamjanishawishi kulitumia hilo li passport.

hii comment inaonesha hujawah tumia bb mpya
 
hii comment inaonesha hujawah tumia bb mpya
Blackberry kwenye matoleo yao yote wateja wanalalamika kuna ubovu.Ukiangalia hata websites za msaada wa simu rundo la maswali ni la simu za BB.Iwe BB mpya au ya zamani,BB wanacomplications na limitations nyingi!!
 
Wanachoniboa BB ni
-Downloading limitations
-Battery kuisha haraka
-Airtime kupukutika bila taarifa
-Hudownload apps mpaka data plan
-SD card files hupotea
-Unsupported SD card files
-System hubadilika badilika
Na mengine mengi tu,hamjanishawishi kulitumia hilo li passport.

Inaelekea ulitumia zile blackberry zlizokuwa znashndana na nokia n8 sokoni enzi hzo..

Mi nmetumia z3,z10 na q5..

Kwanza hamna hayo mambo ya data plan,mb za kawaida tu znatymika..

Pili hamna limit ya ku download apps kama unavodai..

Na tatu,unaweza kubsha sana ila ndo ukweli hamna os nzuri na iliyo na Ui nzuri bila ku stack kwa sasa kama B.O.S10 na Windows8..

Nimetumia ios kwenye iphone 5s,na sasa natumia android kwenye Sony xperia z1..lakini bado naimiss Bos10 na w8..
 
Blackberry kwenye matoleo yao yote wateja wanalalamika kuna ubovu.Ukiangalia hata websites za msaada wa simu rundo la maswali ni la simu za BB.Iwe BB mpya au ya zamani,BB wanacomplications na limitations nyingi!!

sasa unategemea website za kuomba msaada ukakute miziki? hakuna simu duniani iwe nokia, iphone samsung au unayoijua wewe usikute watu wanaomba msaada. cha muhimu kuwe na solution tu.

sijui kama unajua kuwa bb inashare apps na android? ukitoa root access karibia kila kitu unachofanya kwenye android unafanya kwenye bb. makampuni yote yanaikimbia bb sasa hivi kwa sababu ipo open sana wewe ukisema ina limitation sijui tukueleweje
 
Inaelekea ulitumia zile blackberry zlizokuwa znashndana na nokia n8 sokoni enzi hzo..

Mi nmetumia z3,z10 na q5..

Kwanza hamna hayo mambo ya data plan,mb za kawaida tu znatymika..

Pili hamna limit ya ku download apps kama unavodai..

Na tatu,unaweza kubsha sana ila ndo ukweli hamna os nzuri na iliyo na Ui nzuri bila ku stack kwa sasa kama B.O.S10 na Windows8..

Nimetumia ios kwenye iphone 5s,na sasa natumia android kwenye Sony xperia z1..lakini bado naimiss Bos10 na w8..
Pamoja na maelezo yako yote,ukiangalia 2014 WORLD TOP MOBILE PHONES,BB haipo,simaanishi watu wasiitumie.Upande wangu inanipa hasara
 
Pamoja na maelezo yako yote,ukiangalia 2014 WORLD TOP MOBILE PHONES,BB haipo,simaanishi watu wasiitumie.Upande wangu inanipa hasara

Najua na sijasema wapo juu..

Ila nna maanisha wanakuja vzur..
 
Na zile habari za main server ni kweli??? Kwamba chochote ufanyacho ikiwa text calls etc vinaenda kwa server yao kuu???
 
Na zile habari za main server ni kweli??? Kwamba chochote ufanyacho ikiwa text calls etc vinaenda kwa server yao kuu???

kwa service zao za bb ndio ni kweli na zile bb za zamani app nyingi zilikuwa zinatumia hio service.

inaitwa bes au ukipenda blackberry enterprise server, ambapo ipo kibiashara zaidi, inasycronise vitu kama email, contacts, notes, kulinda data.

ila suala la kuiba data zako hio ni issue nyengine. upo uwezekano wanaiba ila mimi naweza kuwatetea sababu ni service ya kulipia, ili utumie huduma hii inabidi utoe hela hivyo inaingiza faida, na sidhan kama ni wajinga kuharibu aervice yao inayoingiza hela.


at same time google, apple, msft wote wana server ambazo data zetu zinakaa na hawa kina google ndio hatari zaidi wanatoa service bure then kila wakitoa mapato wanatangaza faida ya kufa mtu
 
Back
Top Bottom