Blackberry vs Simu nyingine

Encryption ni njia za kuvuruga data ili zisiweze kusomeka na mtu yoyote asiyekuwa na funguo, na decryption ni kuzirudisha data kwenye hali yake ya kawaida (reverse ya encryption) ina matumizi mengi, ikiwemo kwenye msg, inakuwa encrypted kwenye simu ya sender na decrypted kwenye simu ya receiver hivyo mtu wa katikati (vyombo vya usalama, service provider etc) hawezi kuisoma.Pia simu nyingi zina option ya kuencrypt memory card, ukifanya hivyo data zake zinakuwa hazisomeki sehemu yoyote nyingine, inabidi uwe mwangalifu maana simu ikifa data zote zinaweza zisipatikane tena.Kwenye PC pia unaweza kuencrypt files, emails au hata HD nzima.Encryption technique ziko nyingi na zinatofautiana ubora na ugumu wa kuzifungua bila kuwa na ufunguo halali kuna mbovu kabisa na kuna ambazo hazijawahi kufunguliwa na hakuna ushahidi kuwa yoyote duniani mwenye uwezo wa kuzifungua, hii inatokana na hesabu zinazotumika kwenye decryption kuwa ngumu kwa kumpyuta kuzifanya so inaweza kuchukua maelfu ya miaka kuifungua msg hata kama una computing power yote duniani.
aisee..nlikuwa cjui kabisa hi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom