BlackBerry phone continues to struggle in the US

SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
8,847
Points
2,000
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
8,847 2,000

NTSB tosses the BlackBerry in favor of the iPhone

Another U.S. government agency decides to drop RIM's beleaguered device because it has been "failing both at inopportune times and at an unacceptable rate."
by Dara Kerr
November 20, 2012 7:45 PM PST

The National Transportation Safety Board will no longer be using BlackBerry devices.
(Credit: RIM)

Here's another signal that might be pointing to a BlackBerry swan song -- the U.S. National Transportation Safety Board is ditching the device for Apple's iPhone 5. This is the latest in a growing number of government agencies that have turned their backs on the mobile phone.
The government agency announced its plan in a government filing last week, according toBloomberg. The reason it gave for dropping the phone is that it is not reliable.
BlackBerry devices have been "failing both at inopportune times and at an unacceptable rate," the NTSB wrote, according to Bloomberg. The 400-employee agency "requires effective, reliable and stable communication capabilities to carry out its primary investigative mission and to ensure employee safety in remote locations."
The NTSB is in charge of immediately investigating airplane accidents, along with other transportation disasters. Two international service disruptions on Research In Motion's BlackBerry network, including one in September, most likely gave pause to the NTSB.
RIM has had a tough year when it comes to the survival of its BlackBerry device. In addition to the NTSB dropping the phone, the U.S. Immigration and Customs Enforcement agency alsoditched the device last month saying that the phone "can no longer meet the mobile technology needs of the agency."
To add insult to injury, the U.S. Department of Defense also announced last month that it wasending its exclusive contract with the company and opening up bidding to other device makers, including Apple and Google.

i411

i411

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
836
Points
225
i411

i411

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
836 225
nazani black beri wanasubiri kununuliwa next year wakishabolonga na bb10 os yao mpya, been out of the game like 3years without new os. Nikosa la jinai kwenye ushindani wa smatphone were everyone is looking to have the share of the market.
 
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
8,847
Points
2,000
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
8,847 2,000
nazani black beri wanasubiri kununuliwa next year wakishabolonga na bb10 os yao mpya, been out of the game like 3years without new os. Nikosa la jinai kwenye ushindani wa smatphone were everyone is looking to have the share of the market.
They keep falling behind the fierce smart phone competition
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,816
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,816 2,000
dah nimeangalia video ya bb10 it was awesome ina multitasking ile ile ya meego ambayo ipo recognized kama true multitasking. Ina swipe ui nzuri, kuna blackberry hub ya ukweli mi nafkiri blackberry karudi kwenye game. Na mwaka 2013 utakua mwaka wa changes kubwa.
 
sajo

sajo

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
468
Points
250
sajo

sajo

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
468 250
tatizo moja ni kuwa wengi wanaipenda sana blackberry,na jamaa RIM wana kiburi sana though kuna competition ya biashara etc, wao hawajali wanafanya mambo kwa wanavyotaka wao na si kwa wanavyotaka wateja wao,malalamiko ya wateja yangekuwa yanawaumiza vichwa wangerekebisha mapema tu ishu zinazolalamikiwa as ni ndogo sana kwao..ila wanafanya watakavyo na sio wanavyotaka wateja, na still bb 10 itagombewa kama njugu,am waiting for it..i can compare RIM to Microsoft..doing what the inventor feels and not following what the customers need
 
vaikojoel

vaikojoel

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Messages
2,046
Points
1,250
vaikojoel

vaikojoel

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2011
2,046 1,250
nAUza bb9780 yangu jamanii:becky:
 
J

junior05

Senior Member
Joined
May 3, 2011
Messages
189
Points
170
J

junior05

Senior Member
Joined May 3, 2011
189 170
This will be a year for BB10, honestly the os is powerfull and awesome and many are awaiting for it, go youtube check feauteres and compare Dev Alfa with iphone 5 and the new Lumia find comments in youtube for urself
 
J

junior05

Senior Member
Joined
May 3, 2011
Messages
189
Points
170
J

junior05

Senior Member
Joined May 3, 2011
189 170
This will be a year for BB10, honestly the os is powerfull and awesome and many are awaiting for it, go youtube check features and compare Dev Alfa with iphone 5 and the new Lumia find comments in youtube about perfomance.
 
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
8,847
Points
2,000
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
8,847 2,000
tatizo moja ni kuwa wengi wanaipenda sana blackberry,na jamaa RIM wana kiburi sana though kuna competition ya biashara etc, wao hawajali wanafanya mambo kwa wanavyotaka wao na si kwa wanavyotaka wateja wao,malalamiko ya wateja yangekuwa yanawaumiza vichwa wangerekebisha mapema tu ishu zinazolalamikiwa as ni ndogo sana kwao..ila wanafanya watakavyo na sio wanavyotaka wateja, na still bb 10 itagombewa kama njugu,am waiting for it..i can compare RIM to Microsoft..doing what the inventor feels and not following what the customers need
Inagombewa wapi? May be bongo. Lakini kwa US, BB is going under!
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,816
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,816 2,000
This will be a year for BB10, honestly the os is powerfull and awesome and many are awaiting for it, go youtube check feauteres and compare Dev Alfa with iphone 5 and the new Lumia find comments in youtube for urself
mkuu kwa uzuri wa simu no way sikubaliani na wewe simu ya kawaida na lumia 920 ni nzuri zaidi ya zote.

Ila nakubaliana na wewe kwa os. Bb os10 ipo promising kuliko windows phone, ios, android
 
J

junior05

Senior Member
Joined
May 3, 2011
Messages
189
Points
170
J

junior05

Senior Member
Joined May 3, 2011
189 170
Kiongozi vitu gani vinavuotambua uzuri wa simu..?
Tukiachana na os, Kuna comparison zimefanyika kwa device zote mfano browsing test,multimedia nk,kwa Dev Alfa,iphone 5 na Samsung and the results are very open
Mfano lumia 920 ina serious issue kwenye charge and colour ukiwa unapiga picha
Iphone 5 is not good in browsing and maps
 
Pasco_jr_ngumi

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
1,809
Points
1,225
Pasco_jr_ngumi

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2010
1,809 1,225
iPhone oyeeeeeeeee naichukia bb na samsung
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,816
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,816 2,000
Kiongozi vitu gani vinavuotambua uzuri wa simu..?
Tukiachana na os, Kuna comparison zimefanyika kwa device zote mfano browsing test,multimedia nk,kwa Dev Alfa,iphone 5 na Samsung and the results are very open
Mfano lumia 920 ina serious issue kwenye charge and colour ukiwa unapiga picha
Iphone 5 is not good in browsing and maps
dah mkuu mpaka tuanze kuvitaja upya?
-l920 ina optical image stabilisation bb haina
-l920 screen yake 2.5 faster ikiwa na refresh rate ya 60mhz zaidi ya bb
-ishu ya picha za daylight ipo solved na portico update ya juzi
-l920 inachukua lowlight image zaidi ya bb na simu zote duniani
-l920 ina wireless charge bb haina
-l920 lens ya camera ina function nyingi kama vile kutafsiri vitabu, majengo kwenye city lens bb haina
-lumia 920 ina exclusive apps kama photobeamer, nokia maps, angrybird, nokia music, nokia transport, nokia traffic bb haina.
- lumia 920 ina rangi nyingi zaidi bb haina (japo baadae bb nao wanaweza eka rangi)
-build quality ya l920 ni unmatched ikiwa na polycarbonate ambayo ni scratch resistance
-l920 phone memory ni 32 gb bb ni 16gb
-l920 battery ni 2000mah bb ni 1800mah

yapo mengi mkuu
 
M'Jr

M'Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Messages
3,626
Points
1,500
M'Jr

M'Jr

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2011
3,626 1,500
BB10 pamoja na handset mbili za Blackberry zinazinduliwa 30th January 2013. Sina uhakika sana lakini wataalam wa biashara wanasema hata kama mauzo yake yataboom kwa kiasi gani bado hayataisaidia RIM kustablelize. Na hii waombee hawa wengine (Hasa Apple) wasije na kitu kitakachowafanya RIM wacompete. Uwezekano wa ku survive ni mdogo sana mi nahisi tuanze kujiandaa kusubiri kuona nani atawabeba (Usishangae akawa google au apple)
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,816
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,816 2,000
BB10 pamoja na handset mbili za Blackberry zinazinduliwa 30th January 2013. Sina uhakika sana lakini wataalam wa biashara wanasema hata kama mauzo yake yataboom kwa kiasi gani bado hayataisaidia RIM kustablelize. Na hii waombee hawa wengine (Hasa Apple) wasije na kitu kitakachowafanya RIM wacompete. Uwezekano wa ku survive ni mdogo sana mi nahisi tuanze kujiandaa kusubiri kuona nani atawabeba (Usishangae akawa google au apple)
wana timing mbovu hii simu ilitakiwa ianze kuuzwa december maana ikitoka january 30 wakati tuna mwezi tu pale barcelona kwenye mwc zitazinduliwa simu za flagship si chini ya 10 toka samsung (maybe sg4), nokia, lg, apple (rumors 5s), htc, huawei (wp8 maybe) na wengine weng
 
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
8,847
Points
2,000
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
8,847 2,000
wana timing mbovu hii simu ilitakiwa ianze kuuzwa december maana ikitoka january 30 wakati tuna mwezi tu pale barcelona kwenye mwc zitazinduliwa simu za flagship si chini ya 10 toka samsung (maybe sg4), nokia, lg, apple (rumors 5s), htc, huawei (wp8 maybe) na wengine weng
In business, marketing is all about the right timing
 
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
4,709
Points
2,000
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
4,709 2,000
Whats the fun in BB? Zaidi ya BBmessenger mi naona haina ishu kabisa BB! Kama ishu ni kuchat kuna whatsapp, viber, tango, skype, sasa jamaa hawana ishu kwa kweli! Afu mimi BB inanishangaza pale inapokua battery low, network inajizima, sasa whats the point ya simu kukaa on if you cant receive important calls and text messages? Bb ni vimeo sana
 
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
8,847
Points
2,000
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
8,847 2,000
Whats the fun in BB? Zaidi ya BBmessenger mi naona haina ishu kabisa BB! Kama ishu ni kuchat kuna whatsapp, viber, tango, skype, sasa jamaa hawana ishu kwa kweli! Afu mimi BB inanishangaza pale inapokua battery low, network inajizima, sasa whats the point ya simu kukaa on if you cant receive important calls and text messages? Bb ni vimeo sana
Umeua! Madongo yako mazito
 
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
4,709
Points
2,000
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
4,709 2,000
Umeua! Madongo yako mazito
Mkuu mimi nimetoa ya kweli tu, hao wanaotumia BB waje hapa waseme BB ina raha gani???

Apps ovyo, user interface ovyo, graphics ovyo, na touch yao ovyo, multimedia sio fani yao! BB ilikuwa ni for special purpose kama kazi za ofisini na kwamba messages sent through BBM zinakuwa encrypted.... Lakini saivi hawamo kwa lolote. BB huwezi hata kuifananisha na NOKIA, BB ifananishwe na new entry phones za android. Mi nakupa kazi moja, kaa na mtu wa blackberry then njoo unambie activity yake kubwa ni ipi? Nakuhakikishia utakuja kunambia kama ni BBMESSENGER TU!
 
Forum statistics

Threads 1,294,399
Members 497,915
Posts 31,174,714
Top