BlackBerry phone continues to struggle in the US

Mkuu mimi nimetoa ya kweli tu, hao wanaotumia BB waje hapa waseme BB ina raha gani???

Apps ovyo, user interface ovyo, graphics ovyo, na touch yao ovyo, multimedia sio fani yao! BB ilikuwa ni for special purpose kama kazi za ofisini na kwamba messages sent through BBM zinakuwa encrypted.... Lakini saivi hawamo kwa lolote. BB huwezi hata kuifananisha na NOKIA, BB ifananishwe na new entry phones za android. Mi nakupa kazi moja, kaa na mtu wa blackberry then njoo unambie activity yake kubwa ni ipi? Nakuhakikishia utakuja kunambia kama ni BBMESSENGER TU!

Ama kweli uhuru wa kuongea....
 
To Hell with BB AND GOD DMN I PHONES UP DROID
funny-android-apple-computer-copy-s.jpg
 
Whats the fun in BB? Zaidi ya BBmessenger mi naona haina ishu kabisa BB! Kama ishu ni kuchat kuna whatsapp, viber, tango, skype, sasa jamaa hawana ishu kwa kweli! Afu mimi BB inanishangaza pale inapokua battery low, network inajizima, sasa whats the point ya simu kukaa on if you cant receive important calls and text messages? Bb ni vimeo sana

Mh kama hiyo haitoshi,kujizima je?(Restarting)yaan waweza ivunja kwa hasira! Nina BB bold 9700 yaan inabore si mchezo,kutwa kujizima!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom