Blackberry pearl 8100 e-mail activated | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Blackberry pearl 8100 e-mail activated

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Tumsifu Samwel, Apr 8, 2009.

 1. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #1
  Apr 8, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ndugu wanaJF heshima kwenu,

  Nina simu aina ya BlackBerry Pearl 8100 Series nimejaribu kuomba configaration setting za Zain bila mafanikio maana nahitaji ku-activated e-mail address pasipo mafanikio,wanitumia msg nakusema huduma hiyo kwa sasa wamesitisha,naomba yoyote mwenye kuelewa ni jinsi gani naweza kupata access ya internet kwenye simu hii anielekeze tafadhali.
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wamesitisha huduma Mkuu
   
 3. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #3
  Apr 8, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  dah! hawa watu mbona wananiangusha namna hii, hakuna option nyingine ambayo ninazeza kutumia ku-setting manual?
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Jaribu kwenda vodacom ....
  weka line ya voda
  weka pesa 36,000 kwa siku 30
  andika message....blackberry1 itume hiyo msg kwenda 123.

  baada 30 mins ,.............gprs/edge inakuwa herufi kubwa GPRS/EDGE..hapo ujue imekubali
  dunia la browser litaonekana(zima na iwashe simu kabla)...ndio hapo unaweka www........
  pia kutakuwa na email setting icon imeongezeka...hapo utaweka email yako na passoword......
  unaendelea kula maisha...ila kumbuka kila mwezi 36,000. la sivyo internet inakatika...na email hazitaingia wala kutuma
   
 5. SnEafer

  SnEafer Senior Member

  #5
  Apr 8, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Just registered my BlacBerry 8800 with voda and the services of 36,000/moon
  So i agree with skills4ever that shifting to voda is a good idea.

  cheers
   
 6. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #6
  Apr 8, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Skills4Ever shukran kwa maelezo yako mazuri,tatizo mimi natumia mtandao wa ZAIN, na kuhama mtandao naona tabu sana, dah! mbona bei sana mdau tsh.36,000/= . unajua na simu nyingine nokia 2630 natumia zantel internet na napata e-mail moja kwa moja kama vile msg, nilidhani na kwa blackberry itakuwa hivyo pia.
   
 7. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hama mapema, ZAIN haieleweki sasa hivi, jiulize kwa nini wameitoa hiyo huduma internet
   
 8. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #8
  Apr 8, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mimi mwenyewe nimepatwa na wasi wasi ni kwa nini waondoe huduma muhimu hivi kwa ulimwengu huu wa sasa.vipi zantel hawana huduma hii?
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  wajua hii huduma ya BB makampuni ya simu wanainunua toka RIM UK,Canada....sasa hizo 36,000 ni access fee ya mtandao wao hao RIM waliotengeneza hiyo network na servers za blackberry....ukute hapo kampuni ya simu inapata labda 16,000/ na zingine zaenda kwa RIM...ndio maana unakuta inakuwa kama demand ya wateja inasababisha makampuni waingie ubia na RIM.....ni tofauti na Nokia,etc...ile tangu device hadi access lazima uwe nayo special yaani blackberry.......ingawa wengine nao kwa sasa wanajaribu kuiga....samsung,iphone etc
   
 10. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #10
  Apr 8, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Skills4Ever sasa nimekuelewa vizuri sana,si naona bora ni jiunge na VODACOM,ZAIN naona kazi imewashinda.

  Mdau Skills4Ever ina maana siwezi kupata setting za kawaida tu kwenye blackberry?
   
Loading...