Zantel/Tigo Internet configuratio setting | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zantel/Tigo Internet configuratio setting

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Tumsifu Samwel, Feb 15, 2010.

 1. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #1
  Feb 15, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,405
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  jamani naomba mnipatie manual setting za configaration setting za internet za Zantel na Tigo. Nimejaribu kuomba kupitia simu yangu kupitia namba 500 kwa tigo na namba 15098 zantel pasipo mafanikio,zantel wamenitumia lakini ni za wap na mimi nahitaji za internet,tigo siku hizi ndio ukiomba setting hawatumi kabisa .

  Wadau naomba kwa yoyote mwenye nazo aniwekee hapa tafadhali maana nashindwa kusoma E-mail zangu kwani iliniweze kuzipata nilazima niwe na setting za internet kwenye simu na sio setting za wap.
   
 2. N

  Ngala Senior Member

  #2
  Feb 15, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Go to:www.operamini.com ipakue then utakula kitu roo inapenda mi na nakacm kangu naperuzi bila hiyana kupitia operamini ni free
   
 3. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2010
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 747
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kwa zantel tumia
  kwenye APN jaza znet

  kwa Tigo
  kwenye APN jaza tigoweb

  try and let me know.
   
 4. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #4
  Feb 15, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,405
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu, asante kwa ushauri, natumia Operamini lakini haifanyi kazi kwa sababu sina configuration setting za Internet, haifanyi kazi wa setting za wap.
   
 5. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #5
  Feb 15, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,405
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu,naomba unipe na IP Address na port namba yake,kwa mfano address ya zain ni
  Address:0.0.0.0
  Port: 80
  naomba maelekezo zaidi tafadhali.
   
 6. n

  nabeel Member

  #6
  Feb 26, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  APN ya zain ni nini?
   
 7. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,033
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  HODI TENA WANAJF.

  Once again I am getting a great support from great thinkers. Nimefanya utundu wangu, nkapiga simu Customer care hakukuwa na maada but through this thread, problem solved
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...