Mkuu, ingekuwa vizuri zaidi endapo unge tuambia ni blackberry model ipi?
Maana kuna baadhi ya BB sehemu ya kuwekea line zimejificha, mfano BB 8830WE Hii ina support technolojia zote mbili GSM na CDMA, hii BB ukiangalia kwa wasi wasi unaweza dhani hiana sehemu ya kuwekea line.