BlackBerry: msaada please

BlackBerry: msaada please

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
Natumia blackberry bold, juzi imebadilika screen imekuwa nyeupe na kisaa kinatokea katikati, now inawaka na kuzimika, haikubali kuconnect kwenye pc, hata cjui tatizo nini, anayejua anihelp
 
peleka kwa fundi hao ni virus mkuu..kama sikosei..
 
njia nyengine chomoa betri halafu ukae dk 3 halafu uirudishe itakuwa poa mkuu cheers..
 
Ondoa battery kwa dakika kama kumi hivi, afu iwashe. Usi-connect kwenye hiyo PC tena itakuwa na Virus
 
Natumia blackberry bold, juzi imebadilika screen imekuwa nyeupe na kisaa kinatokea katikati, now inawaka na kuzimika, haikubali kuconnect kwenye pc, hata cjui tatizo nini, anayejua anihelp

Mkuu jitahidi ku-unstall unwanted/unused programs inaonyesha haina memory kabisa cha msingi fanya hard reseting toa battery acha kama dakika 5 hv then ingiza battery!
 
Kweli chomoa ktk Pc halafu utoe betri icharge tena kwani betri za BlackBerry ikiwa nzima lazima inajiwasha yenyewe na utapata mawasiliano toka ofisi zao BB
Nashauri na mm pia mPm dr Phone au Calvin Power
 
kuhusu kuchomoa betri nshafanya. Nilitoa betri usiku nkaiweka asubuhi, hakuna kilichobadilika. Nahisi ni virus lakini uwa naitumia na pc yangu tu, na pc yangu ni virus free. Possibly ni low memory, nilitaka kufanya hard reset ila procedure ndo sijui
 
Back
Top Bottom