Ina maana naweza kuwasiliana humuhumu na mtu bila wengine kujua? looo kumbe naweza wapm watu naowazimia humu hata kama hawataki? au unauliza kwanza
Huwa nazimia posts zako
Maria Roza ahsante ofisini huwa wanakuongelea sana ila sijajua kwa nini i hope nitajua soon
Hey nimejiunga leo nimependa nijitambulisha na humu kwani huwa napenda sana kuja jukwaa hili kama guest nikaona isiwe tabu ngoja tu nijiunge ili niweze kucomment kwenye hoja itakayonivutia.Yaani kuna member huwa nawazimia sana
nawapenda nyote
Ahsanteni
Karibu BlackBerry ila tu usije ukawa BlackBerry toleo la mchina
Karibu sana..
Pigeni kazi, acheni kuzungumzia watu ofisini..nchi hii bado maskini sana..Hujasema wewe ni jinsia gani??
Uwe mvumilivu tu
BB naona umeamua utoke vipi big up kijana unaonyesha unajua kusoma alama za nyakati maana kuna watu huwa wakija hapa na salamu wanarudishwa JF intro naona wewe umepokewa kwa nguvu zote.
All in all you are welcome!!!
Welcome BB, but Blackberry ipi Curve, Bold,Torch,Storm or Pearl?
Veir Welkomein Blackberry... Au sprache ein...
Natania tu mwana, jiskie uko kwenu, nimefurahi kusikia wewe ni -me, unaweza kuanza majaribio ya PM kwangu, usiogope. Na kama ushamsikia Invizibo, mimi ndio Katibu Muhtasi wake, taarifa zote zake hupitia kwangu kwanza. KARIBU SANA!
</p>Ina maana naweza kuwasiliana humuhumu na mtu bila wengine kujua? looo kumbe naweza wapm watu naowazimia humu hata kama hawataki? au unauliza kwanza
Nimesema kule kwenye kujitambulisha, mimi ni she. thanx mpendwa wewe umeokoka?
marital status?