BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
Karibu Blackberry.
Karibu B!
welkum
Naonaga mnasema niPM mnamaanisha nini leo nitauliza mpaka basi msinichoke
Karibu Blackberry,
Ku PM nikutuma Private Massage kwa member, unayetaka kuwasiliana naye,
Privately.
Karibu mpaka sebuleni ila ikshazoea ntamwambia maria roza akukaribishe chumbani kuleeeeeee kwa wazeeeeee!!!!!!!
Karibu Blackberry,
Ku PM nikutuma Private Massage kwa member, unayetaka kuwasiliana naye,
Privately.
Nimesahau kuna upande wako wa kushoto chini ya kila post kuna kitu kimeandikwa thanx ni vizuri ukaanza kukitumia sasa hivi tehetehe