Mkuu thanx kwa maoni, issue ni kuwa nimtumie kwa westen union kisha yeye atalipia kwa paypal yake huko huko kisha atakuja nayo bongo next monthPaulss,
Blackberry ni mojawapo ya brand name kubwa katika technolojia tuliyopo sasa.Binafsi nimewahi kutumia simu aina hiyo katika version zote 2G na 3G ni simu imara kwakweli,kuhusu bei kuwa rahisi ni kwa kwasbabu simu hizo ni model za miaka kama 2-3 iliyopita na ni used so tarajia hilo,la msingi kwanza wasiliana na ndugu yako muone mtafanyaje juu ya hilo.
Mkuu nimekupa uzuri kabisa, ngoja nicheck na hii bold 9700 kidogo bei zake angalau naweza kujitutumua ila napenda sana touch screen.nimeona pia namna ya ku bid, let me tryMkuu ni hivi unaweza ukapata deal nzuri tu kwa kutumia auction format kuliko hio ya BIN, kama unajua nini unataka na una uzoefu wa kuitumia ebay advance search jaribu ku set-search auction kwa private seller.
Jengine kwa hizi simu za touch screen BB wamefeli kidogo kwa sababu hazina umadhubuti, nahisi bora kama unahitaji BB basi nakushauri Bold 9700, ila nazo wakati mwengine zina tatizo la trackpad, majembe hasa ni bold 9800 ama Torch 9800 kama uwezo unaruhusu.
Unaweza kumtumia hela huyo nduguyo kwa kutumia paypal, ni free ukituma hela kama gift. Kama huna basi fungua pay-pal account, hautoweza kupokea hela(Tanzania) ila kutuma unaweza, ni rahisi na haraka zaidi.
Kweli is Ebay mobile phones seller with 100% feedback.
Verizon/at&t bb phones hazikubali Blackbery internet service outside america...ukinunua hutaifaidi

Mkuu ni hivi unaweza ukapata deal nzuri tu kwa kutumia auction format kuliko hio ya BIN, kama unajua nini unataka na una uzoefu wa kuitumia ebay advance search jaribu ku set-search auction kwa private seller.

Jengine kwa hizi simu za touch screen BB wamefeli kidogo kwa sababu hazina umadhubuti, nahisi bora kama unahitaji BB basi nakushauri Bold 9700, ila nazo wakati mwengine zina tatizo la trackpad, majembe hasa ni bold 9800 ama Torch 9800 kama uwezo unaruhusu.

Unaweza kumtumia hela huyo nduguyo kwa kutumia paypal, ni free ukituma hela kama gift. Kama huna basi fungua pay-pal account, hautoweza kupokea hela(Tanzania) ila kutuma unaweza, ni rahisi na haraka zaidi.

Kweli is Ebay mobile phones seller with 100% feedback.
Mbona mimi nilinunuliwa kwa mtindo huo Newegg.com - Computer Parts, Laptops, Electronics, HDTVs, Digital Cameras and More! na inafanya kazi vizuri tu hapa bongo? Provided imeandikwa unlocked. Pia siitaji BB bundle bali najiunga tu kama simu nyingine?

Mkuu unashauri ipi ndio inafaa, i mean iliondikwa je? wengine sio wajuzi wa hii maneno na ninaipenda sana

Bundle ya kawaida inakubali kwa simu yeyote ya bb...bt ukitaka tumia Blackbery Internet service(BIS)..whch is unlimited....bb za verizon & at&t hazikubali outside america.
If want to enjoy bb tumia BIS, bundle ya kawaida utatumia only browsers....other BB apps hazitafanya kazi
Sor mkuu mimi pia ninayo bb 9530 lakini kuweka salio ni kama lazima nipige 102 badala ya ile short cut ya *102#...... je inawezekana kuna sehemu inahitaji setting au huwa haikubali siku zote?
nitashukuru kama ntapata maelezo kwenye hili suala!
Kwa kweli hizi zina manjonjo mengi sana ila nakushauri google hilo tatizo kwani nami niliaangaika sana juu ya kutoweza tumia address book kupiga simu. Ilikuwa ina weka +1 na hivyo kutotambuliwa nikaangaika jhadi SAPNA wakashindwa siku niliyo google ikafuata steps tatizo likaisha
Kuweka salio ni *104* na siyo *102# ...... Ili tatizo liko kwa baadhi ya BB mimi nina BB 8830WE mara nyingine ina kubali kuweka kwa number na mara nyingine inagoma inabidi nitumie njia ya voice ....Sor mkuu mimi pia ninayo bb 9530 lakini kuweka salio ni kama lazima nipige 102 badala ya ile short cut ya *102#...... je inawezekana kuna sehemu inahitaji setting au huwa haikubali siku zote?
nitashukuru kama ntapata maelezo kwenye hili suala!

Mkuu unashauri ipi ndio inafaa, i mean iliondikwa je? wengine sio wajuzi wa hii maneno na ninaipenda sana