security
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 322
- 75
wataalam naomba msaada wenu, natumia blackberry hio hapo juu. mwezi wa pili sasa ukiiwasha inatoa mwanga mweupe tu bila chochote cha maana. mwanzo nilidhani ni lcd nikanunua nyingine bei yake ni 75000 lakini bado tatizo limeng'ang'ana. hela yangu inaniuma sana. kwa sasa natumia tecno p5 lakini bb yangu bado naipenda. kama kuna anayejua namna ya kutatua hili tatizo naomba anisaidie. mtu akikupigia mawasiliano yapo kama kawaida.