Blackberry Bold 9700- Tsh 260,000

Blackberry Bold 9700- Tsh 260,000

Tembele

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
1,154
Reaction score
350
Naunza Blackberry Bold 9700 kwa Tshs 260,000. Nimeitumia kwa miezi minne toka nimeinunua.

Haina shida yoyote, wala haina michubuko. Nimeaamua kuiuza kuna simu nataka kununua.

Contacts: 0755252087



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ukweli ubaki kuwa ukweli na usemwe hata kama ni mchungu!
 
Simu haina shida ndio hii ninayoitumia hapa. Naiuza kwa kuwa Kuna simu naihitaji kuna jamaa yangu alikuja bongo likizo ya masomo asa nimeipenda simu yake so lazima niuze hii niongezee niichukue kabla jamaa hajasepa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nipe e-mail nkutumie picha, najaribu ku appload hapa nashindwa sijajua shida ni nini?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom