Black Jesus (Based on true story)

Ukija saa hizi utapotea...!!
 
Watu wengine bhana, itaendelea, wiki inakata upo kimya, mfyuuuu
 
hahahahahahaah mkuu umenifanya nichekekwa sauti kubwa sana

Mkuu? Huyu Black Jesus sio mchezo... huyu kwa sasa si tunamuita mtu asie julikana! Na kazi zao unazijua.... sasa bwana Nico kamtajataja kwenye huu uzii kamuibukia tena kama nyoka Koboko.
 
Mkuu? Huyu Black Jesus sio mchezo... huyu kwa sasa si tunamuita mtu asie julikana! Na kazi zao unazijua.... sasa bwana Nico kamtajataja kwenye huu uzii kamuibukia tena kama nyoka Koboko.
wend itaendelea kazi kazi naandika kwa mood
 
Twataizya mkwai mzee mwezangu wa kuvumbusha
Dah!
Oooo weee,mmweee yantu mwee,
A manda yavula sana mwee, nalatila ukuvumbosha,
Mkuu Umeongelea mitaa ya home,
Hao vichaa wote nawakumbuka,ila umesahau dotto mwehu,wa Kwa kina kapufi, jamaa alikuwa km Bruce Lee, miaka hyo ya 80 black Jesus namkumbuka na niliwahi Skia stori zake nyingi Sana,ilikuwa,kitendawili,
Namkumbuka tulikuwa tunakutana nae tunapotoka kwe matecha malangali,
Duh
 
Alikuwa Checheche na si Chechetu. Niliondoka 1984 mwezi may
Duh kitambo Sana,enzi Za cheche nakumbuka nilikuwa nasomachekechea community center na kulikuwa na kamwalimu kamoja maarufu kafupi hivi kalikuwa kanatuimbisha nyimbo kataa na ilihisiwa ni ka usalama ka taifa
 
Huyu jamaa mleta mada (story) tangu Alhamisi iliyopita hajakanyaga jf. Kumbe pia ni mtumoshi wa kile chama cha kijini. Green network.View attachment 767738View attachment 767739
Uzi wa zamani nimeuna leo nikawa nadondoka nao hapa na K-vant baridi lkn jamaa nae kaja mvua nguo mchizi sio poa kuvuana nguo hadharani kila mtu na maisha yake uwe mpnzani utabaki kua MTANZANIA TU sijapenda hii tabia ya kuchunguliana
 
Mmmh!! Huyu jamaa watakua washamvumbosha...may be kina black Jesus wa Leo walitaka scripts kabla haijaenda hewani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…