Black is Beautiful !

Black is Beautiful !

utalala tu, cheza na usingizi wewe.
Alafu ni sababu haujawa nae, ukishampata huyu baada ya miezi miwili tu ndo utajua ama thamani yake halisi.

Tabia ndio sababu kubwa ya kukatika steam na hawa raia.
 
Naskia utaaaaaaaaaaaaaaaamu!
Mkuu kama vp nitupie namba yake ya cm au email yake nichonge nae.
 
huyo mkorogo. Embu ona hiki!!! vanna-black-e1286165031144.jpg
 
Yelewiii! Meku, hadi machale ya down yananicheza. Anapatikana wapi tena huyu? Du! Wakubwa mnafaidi sana.

jamani! jamani! Ni shemeji yenu? Sitaki wageni kwangu, ndo mnaanza kidogo kidogo kummezea mate.
 
Hii dunia siku kukicha wanawake wamepotea kusikojulikana, baadhi ya wanaume watajinyonga!!!


Umeamini eeheeeeeeeee! Eti kuna watu wanasema pesa ndo kila kitu, aaahhhaaa wapi, sisi bwana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom