kijungu cha nguvu, mbona vidole kama vya mkorogo
Anamguu mzuri kweli ..
hhahahahahaahhah lol "SIJUI" ..
Vipi hujambo lakini..??
Unajua sana Mandela Madiba . . . . karibu tena uraiani?
Ile Mutu yako "Mwanamuke ya Kushangaza" ipo wapi siku hizi?
kijungu cha nguvu, mbona vidole kama vya mkorogo
Kwa vidole tu utajua, hakuna black hapo
Naweza nikacheza na hiyo body all night long.
jamani mdada mzuri huyo. chek miguu na face yake.