Kipochi manyoya hapo lazima kitoke, kwa ulivyoingia
unatuma gari ya namna gani......?
bila shaka huu ni mtego wa mende pacha hawezi nasa
Umeamka salama! Kipochi mtatupa usipo kitumia kina expireSiku hizi mitoko ya wasiwasi kama hii, tunaacha kipochi manyoya home, fungia kabatini. Chezeiya mjini?
si mchaga huyu mchaga aanze tu kukupa pochiWewe tuachie huyu, tunamuwezea. Anakujaga na mihela yake ya kichaga anayoa wallet uhesabu mwenyewe.
Na wewe kwa migari ya kizee, vogue ishapitwa na wakati, gari ya shamba hiyo. Aaaghh